Kuna aliyewahi kufanya biashara na Kariakoo Mall?

kush moker

JF-Expert Member
Feb 11, 2016
579
367
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,naomba kujuzwa zaidi aliewahi kununua bidhaa kwao je ni za uhakika na ubora kama zinavyotangazwa?!

Nimeona matangazo yao Instagram
IMG-20200924-WA0001.jpg
 
duh nilikuwa siijui hii kitu, wanauza vitu at the cheapest prices compared na Jumia. Kama bidhaa zote ni mpya basi jamaa wako vizuri jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom