Kuna aliekutana na huu utapeli?

Kuna aliekutana na huu utapeli?

Eng.Dullah

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
372
Reaction score
304
Wakuu nimeona nitoe tahadhari kuhusu hili ambalo limetokea kwa ndugu yangu ikabidi aniulze kama ni kweli nikamwonya kukaa mbali coz nimehisi ni utapeli. Ila nikaona niwahusishe kuna ambali wamewahi kukutana na ujumbe kamaa kama ilivyo hapa chini:-

Hi, am Mr. John from ST. ELIZABETH SCHOOLS, tupo kikaoni tunashortlist candidates wa kuinterview for O-LEVEL TEACHER, ntakusaidia upate hii kazi kwa masharti haya, salary ni 900,000/=(take home), your 1st salary utanipa laki 2 kwa kukusaidia na kabla ya saa 10 na nusu leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 kwa tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email, nitakupigia nikitoka kikaoni

Mwisho.
 
Wakuu nimeona nitoe hatadhari kuhusu hili ambalo nimetokea kwa ndugu yangu ikabidi aniulze kama ni kweli nikamwonya kukaa mbali coz nimehisi ni utapeli. ila nikaona niwahusishe kuna ambali wamewahi kukutana na ujumbe kamaa kama ilivyo hapa chini:-

Utapeli wa level ya chini sana sawa na hawa watuma sms za uganga. Mtu ana dawa za utajiri halafu yeye mwenyewe ni masikini. Ukitapeliwa wewe ni mwendawazimu.
 
Wakuu nimeona nitoe hatadhari kuhusu hili ambalo nimetokea kwa ndugu yangu ikabidi aniulze kama ni kweli nikamwonya kukaa mbali coz nimehisi ni utapeli. ila nikaona niwahusishe kuna ambali wamewahi kukutana na ujumbe kamaa kama ilivyo hapa chini:-

Hi, am Mr. John from ST. ELIZABETH SCHOOLS, tupo kikaoni tunashortlist candidates wa kuinterview for O-LEVEL TEACHER, ntakusaidia upate hii kazi kwa masharti haya, salary ni 900,000/=(take home), your 1st salary utanipa laki 2 kwa kukusaidia na kabla ya saa 10 na nusu leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 kwa tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email, nitakupigia nikitoka kikaoni

Mwisho.
mambo ya kizamani kweli haya uwii hebu fanya mambo mengine ikibidi uende hapo mahala husika unawezakuta hata mtu kashaajiriwa kitambo sana
 
Wakuu nimeona nitoe hatadhari kuhusu hili ambalo nimetokea kwa ndugu yangu ikabidi aniulze kama ni kweli nikamwonya kukaa mbali coz nimehisi ni utapeli. ila nikaona niwahusishe kuna ambali wamewahi kukutana na ujumbe kamaa kama ilivyo hapa chini:-

Hi, am Mr. John from ST. ELIZABETH SCHOOLS, tupo kikaoni tunashortlist candidates wa kuinterview for O-LEVEL TEACHER, ntakusaidia upate hii kazi kwa masharti haya, salary ni 900,000/=(take home), your 1st salary utanipa laki 2 kwa kukusaidia na kabla ya saa 10 na nusu leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 kwa tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email, nitakupigia nikitoka kikaoni

Mwisho.

sasa hii si afadhali unaiona wazi wazi kuwa ni scam. kuna hiyo ya wa254 ndo kali Zaidi. wenyewe wanatangaza kazi kali na wanatoa mpaka range ya paycheck. unaambiwa sijui program officer take home TZS 4.5 M. wanakufanyisha mtihani online mrahiiiisiiii wanakwambia pass mark 75%.

matokeo wanakuletea kuwa pamoja na stiff competition five of you go 80% lakini you rank first in other areas so they will go for 3 of you but you must complete an English comprehension test which is administered in Nakei, ile ya mbilia bel. gharama yake ni equivalent ya TZS 150K ukihurudhuria in person. ukitaka online nayo ipo ila utalipa like 200K halafu they'll register for the test. they will actually give you the test and issue you legal receipts and promise to contact you in the near future but that's it. no job ooh
 
Duh mbona hii ni zaid ya utapeli
 
Utapeli wa Zamani. kipindi hicho tunamaliza chuo miaka hiyo. Same massage. ZILIPENDWA..
 
Sikuwah kukutana na utapeli mkuu km huu but kwa mtu anaetafuta kazi kwa zama hizi lazma apaniki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom