myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
wa kitoto kabisa..Utapeli wa level ya chini sana sawa na hawa watuma sms za uganga. Mtu ana dawa za utajiri halafu yeye mwenyewe ni masikini. Ukitapeliwa wewe ni mwendawazimu.

Aaaaaaa ngoja nicheke mie ajui nilihitimu masomo ndio nikaanza shule mtaaniNamimi kuna Mhuni mwenye namba 0758485467 kanipigia kwa ahadi kama hiyo
Wakuu nimeona nitoe tahadhari kuhusu hili ambalo limetokea kwa ndugu yangu ikabidi aniulze kama ni kweli nikamwonya kukaa mbali coz nimehisi ni utapeli. Ila nikaona niwahusishe kuna ambali wamewahi kukutana na ujumbe kamaa kama ilivyo hapa chini:-
Hi, am Mr. John from ST. ELIZABETH SCHOOLS, tupo kikaoni tunashortlist candidates wa kuinterview for O-LEVEL TEACHER, ntakusaidia upate hii kazi kwa masharti haya, salary ni 900,000/=(take home), your 1st salary utanipa laki 2 kwa kukusaidia na kabla ya saa 10 na nusu leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 kwa tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email, nitakupigia nikitoka kikaoni
Mwisho.

Mwisho.[/QUOTE
nyanga ilo mkuu