Kuna aina ya wanawake huwa nikiwatongoza lazima wanitese

Kuna aina ya wanawake huwa nikiwatongoza lazima wanitese

Kaliwahi kunisimamisha kamoja eti

Wewe kaka nakupenda...

Kisa nimevaa modo na kubana modo
 
Aisee.

Huwa nawaza mapenzi asubuhi kabisa. Lakini hii ndo life style yangu. Kwahiyo tusibabaishane... Wee piga kazi.

Twende kwenye mada.

Leo bwana ndo nimejigundua kuwa kuna aina flani ya wanawake huwa nikimtaka lazima eidha anikatae, anichune Sana au anizungushe sana.

Wanawake hao ni kuanzia miaka 19 - 22. Lakini kuanzia hapo mpaka mwisho wa umri huwa hawachomoki kabisa. Hasa single mother wa umri huo.

Aloo nakwama wapi?
Au inakuwaje?



Ushawahi kuwa na upepo wa wanawake wa Aina flani??


Uzi
Tayari. Endeleeni na kazi me nawaza chini Tu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu inawezekana kabisa umezeeka kama jina lako. Hawa watoto bana wa umri huo wengi kwanza vichwa vyao hua haviko sawa. Kwahiyo unahitaji mbinu za tofauti kabisa kuweza kuwapata.

Mengi yamezungumzwa na wachangiaji waliopita ila mimi nikuongezee moja kubwa.
Mtoto wa umri huo uliotaja, ukishapata tu mawasiliano yake na mkaanza kuwasiliana hakikisha NDANI YA WIKI MOJA UMESHAKULA MZIGO!! Yaani unatakiwa ukapeleke puta chap chap mara outing mara umekala mate huku na huku gesti kituu..!!
Ukileta yale mambo yetu ya kizeezee ya kuanza kuzoeana, mara sijui kwenda nae taratibu.... mzee ikipita wiki ya kwanza ya pili ameshaanza kukusahau utashangaa ata simu zako hapokei tena.

Yaani inatakiwa ukianza nae tu mazoea, kabla hajajua ni nini kinaendelea we siku nyingii umeshapita na unaeza kushangaa ukishakula mara 1 au 2 akaja kukubania kabisa na asikae akakupa tena asilani.
 
Back
Top Bottom