Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,611
Nikioa nitarudi kukomenti huu uzi
DoooooooooooooAina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia na kumfanya mume atulie....
Aina ya pili ni mke ambae kila mmoja anae.. πππππ
Hebu msifie mama chanja wako
Tehe teheeAina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia na kumfanya mume atulie....
Aina ya pili ni mke ambae kila mmoja anae.. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hebu msifie mama chanja wako
Mimi ninao wote wawili ingawa sijaoa
Aina ya pili yukoje mkuu? Naomba kumjuaAina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia na kumfanya mume atulie....
Aina ya pili ni mke ambae kila mmoja anae.. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hebu msifie mama chanja wako
Kama wewe mkuu.... mpole mwenye mwendo wa madoido kuingia PMni kwangu.Aina ya pili yukoje mkuu? Naomba kumjua
Aina ya pili yukoje mkuu? Naomba kumjua
Haha..mbona Sina mwendo wa madoido jamaniKama wewe mkuu.... mpole mwenye mwendo wa madoido kuingia PMni kwangu.
Uniambie hapahapa mkuuNi wewe apoebu fungua kwanza pm yako tutete jambo
Mkuu hiyo sura uliyoweka ni kavu kinomaa...nilitaka nije PM ikabidi niogope.Haha..mbona Sina mwendo wa madoido jamani
Mkuu naomba ufafanue hapo pa kupapatikia matako makubwa.Unaambiwa Dunia ya Leo aina ya kwanza ya wanawake uliotaja ni asilimia 5% ya wanawake wote.
Vijana wengi wanakimbia na kuvunja ndoa kwa sababu wanawake wa leo WAMEKENGEUKA.
Lakini naendelea kuwaasa aina ya kwanza ya wanawake bado ipo acheni kukurupukia MATAKO MAKUBWA.
nyumba utakayooa kama kuna mabinti wazuri ambao hawajaolewa tupeane taarifa ili ziwekwe kwenye database yetu.Nikioa nitarudi kukomenti huu uzi
Utamuoa yupi kati ya hao
Hahahah Sisi wanaume tunadhani NDOA ni mvuto wa Shape na Sura, mvuto wa sex na kushindana na marafiki.Mkuu naomba ufafanue hapo pa kupapatikia matako makubwa.
Naona hadi umeandikwa kwa mwandiko mkubwa.
Hiyo sura isikutishe Sana huyo ni mlinzi tu yupo hapo kwa ajili ya kuogopesha mabahariaMkuu hiyo sura uliyoweka ni kavu kinomaa...nilitaka nije PM ikabidi niogope.