Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,610
Aina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia na kumfanya mume atulie....
Aina ya pili ni mke ambae kila mmoja anae.. 🏃🏃🏃🏃🏃
Hebu msifie mama chanja wako
Aina ya pili ni mke ambae kila mmoja anae.. 🏃🏃🏃🏃🏃
Hebu msifie mama chanja wako
