Kumwembe ni mnafiki?

Kumwembe ni mnafiki?

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
227
..............ana mahaba mazito na sammata mpaka amegeuka bango lake la matangazo?anaujua zaid mpira wa ulaya kuliko makocha wa ulaya wanavyoufahamu?........kwenye uchambuzi wa soka anatuleteea habri za kumbi za starehe za nje alizoingia?,,,,habari na uchambuzi wake anatafsiri chambuzi za vyombo vya habari vya ulaya?,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Hakuna kumtetea yeye ana tamaa na vilabu vikubwa vya bongo. Kama simba,yanga na azamu. Huo ndio ukweli wakubwa na sio leo ni toka kitambo?? Xana!
 
Breath mkuu keep calm ...
 
Umenkumbsha ngoja nkatafute mwanaspoti nmemiss NYUMA YA PAZIA....
 
kuna post moja ilikuwa inasema uero cup ishafika tusubiri uongo wa kina shafi dauda na edo.. sijui una maana hiyo...
 
mnyonge mnyongeni.........bado eddo anabakia kuwa mchambuzi mzuri wa maswala ya soka nje na ndani ya uwanja . Hata kama anasoma chambuzi za ulaya bado amekuwa na uwezo mkubwa wa kuzioanisha na mazingira yetu ya kitanzania. Kama binadamu anaweza kuwa na mapungufu ktk kazi yake ila kazi anayoifanya ,anaifanya kwa ufanisi mkubwa.
 
Back
Top Bottom