SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,397
- 2,376
You have really disgraced and dishonoured your creator. God was never created. He is the Creator and everything else is created.
Samahani....unafaham kusoma kidhungu???
You have really disgraced and dishonoured your creator. God was never created. He is the Creator and everything else is created.
Mbona watu wanajitahidi kutetea hii video wakati hata Lwakatale au CDM wenyewe hawajatoa tamko? Kwavile hili suala lipo Polisi basi ingekua vizuri kusubiri.
autAngalia jinsi technology ya kumuwekea mtu maneno kwenye Video. Je Video ya Rwakatale na Shehe Ilunga imetumika hii Technology aka Kalufundi? Uamuzi nawaachia wenyewe......
Du kweli technologia imefika mbali,,, ila mimi nauliza ina maana hii ya Obama na picha ni fake au ni sauti tuu,, yaani hapa nataka kuona picha halisi ya video iliyo nyofolewa maneno yakapachikwa maneno mengine,, au kila kitu ni fake mpaka picha,,