Kumwekea mtu maneno kwenye VIDEO.

Kumwekea mtu maneno kwenye VIDEO.

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Angalia jinsi technology ya kumuwekea mtu maneno kwenye Video. Je Video ya Rwakatale na Shehe Ilunga imetumika hii Technology aka Kalufundi? Uamuzi nawaachia wenyewe......



 
Last edited by a moderator:
Science created by GOD!

I know Az89! thus why am saying it is second to God, that means God is always the first! ALL things ARE created by God but they ARE not that much important like SCIENCE (HUMAN BEING'S INNOVATION)
 
Mbona watu wanajitahidi kutetea hii video wakati hata Lwakatale au CDM wenyewe hawajatoa tamko? Kwavile hili suala lipo Polisi basi ingekua vizuri kusubiri.
 
Mimi sijaona hiyo video sababu niko kwenye kwenye opera 7.1 ya java ila nasikiaga vizuri sana nikisikia ama nikiona Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vilivyomo anapokuwa AKITUKUZWA. THANKS OUR GOD. Kama Binadamu anafanya haya je MUNGU je, si ni mara mamilion. JUTIA ANGUKO DHAMBINI Tusingekuwa hivi tulivyo. Kuna hata viumbe wakubwa lakini hatuwaoni na wako pamoja na sisi. Thanks again Tata Enokwe.
 
Mkuu, sijui uelewa wako uko Mkubwa kiasi gani hapa duniani. Wewe au mimi ningelikuwa OJ Simpson, tungelikuwa tumeshafungwa zamani sana au kunyongwa. Ila mwenzio, kwa kuwa na wanasheria wazuri, aliweza kupinga na kushinda ushahidi wa DNA.
Mbona watu wanajitahidi kutetea hii video wakati hata Lwakatale au CDM wenyewe hawajatoa tamko? Kwavile hili suala lipo Polisi basi ingekua vizuri kusubiri.
 
Hakuna kitu, hizi unaona kabisa ni feki ya Lwakatare ya kweli, jambazi mkubwa yule.

ni kweli amongezi ya lwakatare hayakuwa na mtiririko.hivyo kuweka sauti haiwezekani.
 
Fani ya sheria na polisi wanayo kazi kubwa kuhusiana na ushahidi unaotolewa kwa njia ya picha na video ni lazima ushahidi kama huo uwecrossecheked kwa kuunganishwa na ushahidi mwingine. Tofauti na hapo watafungwa wengi bila hatia
 
Mhe Nchimbi, zuia hii aibu kwa jeshi lako la polisi kabla madudu ya KUTUMIKA KWA HII TEKNOLOJIA YA KIKATUNI YA KULISHA VIDUBWASHA MANENO NA KISHA KUONGEA KAMA BINADAMU (Animation) haijawaangukieni pwaaa miguuni.

Ukweli utakapojitokeza wazi nje nje, patabakia kovu kuu la aibu kwa polisi wetu hawa juu ya hii kampeni ya ki-siasa ya kutengenezeana KESI ZA KUCHONGA kama hivi.
 
Mhe Nchimbi, zuia hii aibu kwa jeshi lako la polisi kabla madudu ya KUTUMIKA KWA HII TEKNOLOJIA YA KIKATUNI YA KULISHA VIDUBWASHA MANENO NA KISHA KUONGEA KAMA BINADAMU (Animation) haijawaangukieni pwaaa miguuni.

Ukweli utakapojitokeza wazi nje nje, patabakia kovu kuu la aibu kwa polisi wetu hawa juu ya hii kampeni ya ki-siasa ya kutengenezeana KESI ZA KUCHONGA kama hivi.

Cheka na Nyani uvune mabua,
 
hiii ni fake inaonekana kabisa...LAKINI ILE YA LWAKATARE MMH LABDA IWE IMETUMIKA TECHNOLOGIA NYINGINE KUINGIZA LAKINI SIO HII
 
Endapo Waziri Nchimbi ataweza kusoma hii article hapa chini kwa umakini unaostahili na pengine kuweza kupata tafsiri zuri ya kitaalam juu ya 'Teknolojia ya Animation' toka kule UDSM Computing Centre, pengine tunaweza kumuona Mhe Lwakatare akiachiliwa huru siku ya Jumatatu na hata 'KUOMBWA MSAMAHA KWA USUMBUFU' kabla ya aibu kujitokeza zaidi na zaidi.

Bad Lip Reading (abbreviated as BLR) is a YouTube channel, run by an anonymous individual in the music production business, that spoofs clips from films, TV shows,
songs, and political news stories by overdubbing humorous vocal work that matches the lip movements of the targets.

Rolling Stone described the channel as "the breakout hit" of the 2012 United States presidential election cycle.[1] The creator declines to identify himself.

[2] Background

The "Bad Lip Reader" behind the channel is an anonymous Texas-based music and video producer. The first Bad Lip Reading video released was a spoof of Rebecca Black's song "Friday", titled "Gang Fight".

New music and lyrics were matched to Black's video to make it appear as though she were singing about gang warfare. The "Gang Fight" YouTube video, released in March 2011,
earned BLR a million hits and thousands of subscribers.

[1] More spoof videos followed, including interpretations of The Black Eyed Peas' "Boom Boom Pow" (a viral video[3] called "Everybody Poops"), Taylor Swift's "Our Song" and Michael Bublé's "Haven't Met You Yet".

The latter was transformed into the "electronica inspired" "Russian Unicorn",[1] which Bublé himself praised as his "new favorite song"[4] and "one of the coolest things I've ever seen."

[5] In September 2011, BLR branched out from pop singers to politicians with a "bad lip-
reading" of Texas governor and US Presidential hopeful Rick Perry.

BLR replaced clips of Perry with invented dialogue matched to his lip movements, including "what's good is to get these goats for our computer industry"[6] and "I'm bored by famine. I
cannot wait for a medieval cookie, a Cinnabon, hot yellow Kool-Aid, and save a pretzel for
the gas jets!"

[1] Following the Perry spoof, BLR has released bad lip-readings of President Obama[6] and Republican presidential candidates Michele Bachmann, [7]Mitt Romney, Herman Cain, Ron Paul, Newt Gingrich, and Rick Santorum.

In January 2013, BLR released a "bad lip-reading" of National Football League players, coaches and referees.[8][9]

In a Rolling Stone interview, the producer behind the Bad Lip Reading videos said that he first encountered the technique of lip reading when his mother, then in her 40s, lost her hearing due to unknown causes.

While she excelled at lip reading, he was unable to pick up the skill despite trying:

"I was terrible at it."[1] ↑Jump back a section Copyright disputeOne of Bad Lip Reading's works, "Dirty Spaceman", a redubbing of " Check It Out" by Will.i.am featuring Nicki Minaj, was taken down due to a claim of copyright infringement.

It is unclear if Universal Music issued a formal DMCA takedown request or if YouTube's
Content ID Match system detected the work and removed it automatically.

[10] Also, in March 2012, the video "Beard With Glue ," a bad lip reading of "You're Beautiful" by James Blunt, was taken down by Warner Music Group on a copyright claim.

Unlike "Dirty Spaceman", the claim was soon released, and the video was returned. Likewise, "Gang Fight" was taken down in 2011, but returned. UMG has also taken down "Rockin' All Nite
Long", the Taylor Swift spoof that also features Wiz Khalifa.

↑Jump back a section Body of work The following is a list of BLR's song-based spoofs; spoken-word spoofs are not included in the table. The music videos for each song
may be found on YouTube.

Artist featuring Original song(s) Release date(s) BL Rebecca Black "Friday" Mar 14, 2011 "Gan
Figh Justin Bieber Rascal Flatts "That Should Be Me "Mar 19, 2010 "Asi Bab Black Eyed Peas "Boom Boom Pow" Mar 30, 2009 "Eve Poo Miley Cyrus Snoop Dogg "Party in the U.S.A."

Aug 11, 2009 "Bla Umb (Th Stuf Ludacris The Bee Gees "My Chick Bad", "Too Much Heaven" Feb
23, 2010, Oct 24, 1978 "Ma Man Justin Bieber Rascal Flatts "That Should Be Me " Mar 19,

2011 "Hot Jum Bea Taylor Swift Wiz Khalifa "Our Song" Aug 22, 2007 "(Ro All Ni Long Michael Bublé "Haven't Met You Yet ."

Aug 31,2009 "Rus Unic Bruno Mars Lady Gaga,Jay-Z "The Lazy Song", "Alejandro", "Empire State of Mind " Feb 15, 2011,

Apr 20, 2010,Oct 20, 2009 "Mor Dew Barack Obama Sep 19, 2011 "Tric Brid Nicki Minaj will.i.am "Check It Out" Sept 3, 2010 "Dirt Spa James Blunt "You're Beautiful"

May 30, 2005 "Bea Glue Gotye Kimbra "Somebody That I Used to Know " Jul 5, 2011 " Kic Your Mon Double Take "Hot Problems" Apr 15, 2012 "Tim Roc Coldplay "In My Place"

Aug 5, 2002 "Yeti" Beyoncé "The Star-Spangled Banner " Jan 21, Mods nisaidie kuipanga maana nimeicopy
 
Angalia jinsi technology ya kumuwekea mtu maneno kwenye Video. Je Video ya Rwakatale na Shehe Ilunga imetumika hii Technology aka Kalufundi? Uamuzi nawaachia wenyewe......




Watu wanaleta ushabiki kwenye haya mambo bila kufikiria, kuna tamthilia zinaonyeshwaga kwenye vituo vyetu vya runinga mida ya usiku. Zile wahusika huongea spanish lakini sisi tunasikiaga kiingereza. Je hawajiulizi kwamba ni utaalamu huo huo uliotumika kwenye clip ya Rwakatare?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom