jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,853
- 7,629
Tunawapima tu kama nawo wanaweza kutafuta aise, sasa wakipasi huo mtihani basi wanaume roho zetu zawa kwatu kwamba kumbe tusipokuwepo Duniani wenzetu wataweza kutunza familia kwa kutumia akili na rasilimali zao..Umeoa na mke wako ni mama wa nyumbani. Katikati ya mwezi unajikuta una nauli tu ya kuendea kazini. Asubuhi unamuaga unamwambia hali ngumu afanye maarifa.
Mke amekopa kwa mangi. Kwa mapenzi aliyonayo kwako unakuta wali kuku na Mirinda ya baridi. Huulizi hela alipata wapi. Mbona mnatuacha kwenye hali mbaya?