sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
hivyo ndivyo mwanamke anatakiwa kuwa
hongera mama
asante.....
hivyo ndivyo mwanamke anatakiwa kuwa
hongera mama
Mhhhhh! Hii inatisha sana, pole zao nyingi sana. Inabidi wazazi kuwa waangalifu mno na magari majumbani kwao maana ajali kama hizi zinatokea sana majumbani.
Hii mada imenikumbusha mbali sana yaan mpaka machoz yamenitoka, nilikuwa naish kwa Mjomba siku ya tukio tulikuwa tulikuwa tunaenda kwenye harus, Mjomba alitangulia tukabak Mimi, ant na watoto wawil wa Mjomba huyu wa kwanza ana miaka mitano wa pili ana miez kum, Yule wa kwanza akatumwa mafuta ya taa ,aliporud akayaweka kwenye kordo yule mtoto akaayafata akaamza kunywa ile chupa ikadodondoka akaanza kuyalamba sisi tuko chumban tunajipura, kutoka tunakuta mtoto kasharegea kwenda kununua maziwa wap haikuchukua mda MTOTO akafariki so hii story inanikumbusha mbali