Tena unamkinai kabla ya yeye kukuchokaYaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.

Mahusiano yanakufa bila sababu ya msingiHalafu unafanyaje mkuu ukiwachoka??
Usiombe kuchokwa na mimi, utaomba pooYaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.
Nitaomba pooo labda niwe mgonjwa mahututi lakini kama nipo hivi utachoka ww.Usiombe kuchokwa na mimi, utaomba poo
Mawazo ya mitoto iliyobalehe juzi utaijua tuAisee kuna kipindi Kwenye uhusiano inafika Unajikutaa umemchokaa sana Girl wako na hunaa hisia nae Kabisa.. Sema unakuwa unaendelea nae sababu Unamuonea huruma vile anakupenda sanaa na ushampotezea muda wake sana...!! Japo ni mbaya maana muda unakwenda so Kama mtu umemchoka jitahidi umchanee tu japo atalia na kuumia Ilaa NI BORAAA...kuliko kuendelea kumpotezea muda mtoto wa watu miaka yenyewe inaenda...