Kumuonea Huruma Msichana

Kumuonea Huruma Msichana

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,165
Reaction score
43,854
Aisee kuna kipindi Kwenye uhusiano inafika Unajikutaa umemchokaa sana Girl wako na hunaa hisia nae Kabisa.. Sema unakuwa unaendelea nae sababu Unamuonea huruma vile anakupenda sanaa na ushampotezea muda wake sana...!! Japo ni mbaya maana muda unakwenda so Kama mtu umemchoka jitahidi umchanee tu japo atalia na kuumia Ilaa NI BORAAA...kuliko kuendelea kumpotezea muda mtoto wa watu miaka yenyewe inaenda...
 
Wadada muwe mnajua kusoma alama za nyakati....

Mnajiongeza kimya kimya
 
Hivi kumchoka msichana ni kwamba unachoka kuila papuchi yake au inakuwaje?
Maana mimi binafsi sijawahi kumchoka mwanamke
Yaah unakutaa ushamlaa pia mambo flani mnazinguana sanaa...!! Vitu vidogo tu ugomvi...
 
Yaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.
Haa ha ha...
 
Yaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.
Hujakutaa uliempendaa wew...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom