Kunajambo huwa linanishangaza sana hapa kwetu Tanzania, eti ukienda hospitali za umma unatozwa PESA ya kumuona Daktari, let say Dr anashahada ya udaktari, mbona mwalimu anaonwa bure NA wateja wake kama jua ? Hii sio kejeri KWA kada hii ? Mbona mwalimu anamuandikia mzazi ripoti ya matokeo NA kugonga mhuri bure ? Walimu wameikosea nini serikali hii sikivu ya CCM ? MBONA RAIS ANAONWA BURE ? WHY DOCTORS ?