Kumuoa huyu nafanya kosa tena au nibahatishe tu

Keshasema yeye anao 4...
Unajitaftia matatizo na stress za bure ungekuwa na watoto watatu na wewe ngoma itakuwa droo, Sasa huyo ipo siku atarudiana na mumewe ndio utajua hujui, Yani wamezaa watoto watatu na kaachwa ujue ana shida, watu walioshibdwaga mahusiano yaliyofikia kuwa na watoto huwa Wana matatizo na machungu moyoni kiasi hawapendeki tena
 
Mkuu kumbuka na mimi am 41yrs kupata vibint vya 20-25 ambavyo havijazalishwa ni kazi pia, na pia sina mda wakutongoza kwa hali ya kazi yangu, ni lzma nipate workmate pia nina watoto bint ambaye hajawahi kuzaa ni chagamoto kwa wanangu.
kwa maelezo haya nakupa green light Mzee baba...
 
Sasa mkuu ungekuwa unaishi Zanzibar si jui ungesemaje Maana huku Zanzibar mwanamke aliye zaa watoto wa 5 anaolewa tena na kijana wa 27, Yani wanaume wa Zanzibar hawa jui eti ukioa mwanamke aliye zalishwa unakuwa umeoa mke wamtuYan wenyewe wanaoa tu mwanamke akiachwa Tu ata awe na watoto 8 anaolewa tena na kija

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wa Pwani hawanaga wivu huku bongoland aka Tanzania bara wanauana kisa mapenzi
 
Kweli. Kuna mmoja nilikaa naye nyumba moja ya kupanga. Mke akawa anadanga wakati mume anatizama tu. Kuna wakati alikuwa analala huko huko lakini mume akawa amekubaliana na hali hiyo!!
watu wa Pwani hawanaga wivu huku bongoland aka Tanzania bara wanauana kisa mapenzi
 
Unajitaftia matatizo na stress za bure ungekuwa na watoto watatu na wewe ngoma itakuwa droo, Sasa huyo ipo siku atarudiana na mumewe ndio utajua hujui, Yani wamezaa watoto watatu na kaachwa ujue ana shida, watu walioshibdwaga mahusiano yaliyofikia kuwa na watoto huwa Wana matatizo na machungu moyoni kiasi hawapendeki tena
Kasema yeye ana wa4 kule juu...
 
Yatawashinda tu ka wake wote anakosana nao atafte kichenchede Cha kupoza engine aisee hajaandikiwa ndoa
Naona umekuja kiugomvi ugomvi sasa, wanawake wawili ndo uniseme kwamba nimeshindwa, acha funjo mkuu, hao wanawake unao waona kwa wastani wanapitiwa na wanaume sio chini ya watano( 5) paka aje olewe, wewe ndo shahidi taja wakwako paka hapo ulipo........lakini wegi wako 30+ lakini bado hawajakata tama.
 
Mpka hapa inaonesha ushafanya maamuzi, sasa bas fuata vle moyo wako umeamua.

Upendo husitir wngi wa dhambi
Mkuu bado maamuzi kabisa, na ninavo soma comment za wadao naona hapa upepo umesha badilika kabisa, siwezi kubeba gunia la misumali kichwani, huo bibie naona anataka kunitumia kama revage tool loh
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kama mnapendana haina shida, single moms pia wana haki ya kupenda/kupendwa. Fanya maamuzi sahihi.
Haki ya kupenda hakuumbiwa mwanamke, wameumbiwa kutii tu, huyu anayeomba haolewe hataweza kutii, anaongozwa na tamaa ya kumiliki u.b.o.o tu. Hafai kwani hana ushwawishi angeweza kumshawishi kwa unuenyekevu aliyempa mimba ya kwanza
 
Naona umekuja kiugomvi ugomvi sasa, wanawake wawili ndo uniseme kwamba nimeshindwa, acha funjo mkuu, hao wanawake unao waona kwa wastani wanapitiwa na wanaume sio chini ya watano( 5) paka aje olewe, wewe ndo shahidi taja wakwako paka hapo ulipo........lakini wegi wako 30+ lakini bado hawajakata tama.
Mkuu usimalizie stress za mahusiano yako bana, nikukasirikie Ili iweje sikujua au vile sojaandika unachokipenda, nothing personal here nimekuja tu ku comments ka raia wengine so relax aisee.
N. B hata hii ndoa itakushinda tu watu ka wewe wako mtaani bana so relax
 
Mkuu bado maamuzi kabisa, na ninavo soma comment za wadao naona hapa upepo umesha badilika kabisa, siwezi kubeba gunia la misumali kichwani, huo bibie naona anataka kunitumia kama revage tool loh
Don't panic ,haya ya humu usiyachukue yote .mengine chuja , humu unaweza kukuta unabishana na watu wapo kwenye ulimwengu wa kufikirika na wewe ukawa na experience kubwa sana ya mahusiano na ndoa.

Fanya analysis yako binafsi na uweke mambo sawa ,ila wakati wa kufanya maamuzi uangalie pia na position za watoto wenu kwa sasa hivi na kwa wakati ujao.

Kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom