Kumuoa binti msomi

Mwanamke hakikisha anakuzidi makalio tu ila akikuzidi ela na kiwango cha elimu duuh hapo hatari
Tatizo mnapiga magoti wenyewe pale mnapovishana Pete na ukikuta mwanamke nae akil zake sizo lazima mtashindwana Mana atajiona wote mko sawa utumwa huwa unaanzia hapo
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Eti darasa la Saba
Kamuoa Jackline Mengi[emoji1787][emoji1787]
 
Of course wanawake kabla hawajapigwa zile mimba za kijinga huwa wanakuwa wana mawazo ya ramli sana. Wakishapigwa mimba ndio akili zinaanza kuwa active..... Wanakuwa wanafikiria sawa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…