zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Ofco ila ni Kikwazo kwa Mwanamke asiejielewaa yani ndo ule msemo kinachomponza Tembo ni zile Ndovi zake wanawake wenye elimu WENGI WAJEURI SANAA na hili ndo tatizo...!!Elimu haiwezi kuwa kikwazo kwa mwanaume anayejielewa
Yeah naelewa lakini dada hawa wasomi hupenda wavulana wasomi pia....ni ngumu kupata msichana aliye na elimu yake kaolewa na jamaa wa maskani asiye na elimuElimu haiwezi kuwa kikwazo kwa mwanaume anayejielewa
Umenisaidia kaka wasichana wanashindwa kuelewa akili siyo elimu wapo wengi ambao wana akili na wako kitaaNyie wasomi mkuje mumjibu mtoa mada.
WaiteNyie wasomi mkuje mumjibu mtoa mada.
Ndio ni wavulana my ❤️Hahahah my bad!!
Kumbe ni wavulana wanaongelewa hapo
mwanamke msomi humpenda mwanaume sio mvulana.hebu rekebisha kidogo mwandiko wakoYeah naelewa lakini dada hawa wasomi hupenda wavulana wasomi pia....ni ngumu kupata msichana aliye na elimu yake kaolewa na jamaa wa maskani asiye na elimu
Nimesema wavulana Ila namanisha gender ya kiume kwa ujumla nimetumia neno wavulana ili kuipa uzito maada.Ndio ni wavulana my [emoji3590]
Lakini baadae mambo kumbe yanabadilika mvulana yuleyule atakapo pambana na kupata mali na fedha za kujikimu wasichana hukubali wenyewe[emoji848]Mkuu mvulana hata iweje lazima akataliwe tu hakuna namna.siku akiwa mwanaume atarudiwa na mwanamke msomi
Ni kweliiElimu haiwezi kuwa kikwazo kwa mwanaume anayejielewa