Kumuelewa mwanamke

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Kujaribu KUMUELEWA Mwanamke ni sawa na kuanza uchunguzi wa kisayansi kwanini hata Bata akila Mawe anaharisha.Hutapata jibu mpaka unakufa
 
Kujaribu KUMUELEWA Mwanamke ni sawa na kuanza uchunguzi wa kisayansi kwanini hata Bata akila Mawe anaharisha.Hutapata jibu mpaka unakufa

sorry sir/madam are you smoking weed?
 
Kujaribu KUMUELEWA Mwanamke ni sawa na kuanza uchunguzi wa kisayansi kwanini hata Bata akila Mawe anaharisha.Hutapata jibu mpaka unakufa

Akifurahi analia, akikasirika analia.

Jambo lenye kumtia uchungu mkali sana analirudia hata mara 10,

Hayo ndo maajabu ya mwanamke bajameni,
 
Acheni uoga wanaeleweka tena vizuri na niwatu ambao wanawezatoasiri kirahisi
 
Acheni uoga wanaeleweka tena vizuri na niwatu ambao wanawezatoasiri kirahisi

Sasa wa kutoa siri ni wa kueleweka huyo? M2 wa kueleweka ni yule mtunza siri, sio mtoa siri kirahisi.
 
bora mwanamke anaweza tabilika si mwanaume. akiwa na mke housewife anacheat na mfanyakazi mwenzie. akiwa na mke mfanyakazi anacheat na housegirl. They themselves do not know want they want.
 
Wife can change to be a knife and cut your life!! Don't play with women is very dangerous than timing hidden bomb!!
 
Kama wakati wa kumuoa ulimkuta na mtoto, kila akipata bwana atakuambia ndio Baba wa mwanangu kwa hiyo uvumilie hata simu zikiingia au pesa, maana atachuma kila siku kwa watu tofauti akikudanganya hela za kumlea/kumsomesha huyo mtoto mwingine ambaye sio wa kwako.
Akiamua kuzaa na jamaa mwingine ambaye anakuona amekuzidi kwa kila jambo na kipato ni lazima atakuchanganyia tu na baadaye akizaa atalia na kukuomba msamaha, ili mpige mtoto mwingine halali baada ya huyo
KUMUELEWA MWANAMKE (anaitwa HAWA) ni kazi kwelikweli
 
Ukitaka kumuelewa mwanamke utamuelewa,
usipotaka kumuelewa na hauta muelewa kamwe!!!!!!
 
kwanini mkuu au unataka uonekane na wewe umechangia?tushakuona
 
Ukitaka kumuelewa mwanamke utamuelewa,
usipotaka kumuelewa na hauta muelewa kamwe!!!!!!

Sio kweli madam-u were created so complex

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…