Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Nimepitia hiyo haliAsante kwa kunisaidia
Nimepitia hiyo haliAsante kwa kunisaidia
Hukuwa unapenda anavyopiga simu kila saa.... Kumbe hii ni sababu pia ya kuachika....[emoji23][emoji23]
haa ha ha...anapiga kuuliza Vip beib umekula??Sio sababu ya kuachika...ila kwng kuna baadh ya sehem nikiwepo sipend kupokea simu...ss yy alikua anapiga mpk mida amabayo nipo kazin na kumuelewesha nilijitahid lakini tatzo likawa linajirudia tena bora ingekua ni simu za maana sasa
Hahaha...zile za baby I miss you....baby umekula..Sio sababu ya kuachika...ila kwng kuna baadh ya sehem nikiwepo sipend kupokea simu...ss yy alikua anapiga mpk mida amabayo nipo kazin na kumuelewesha nilijitahid lakini tatzo likawa linajirudia tena bora ingekua ni simu za maana sasa
Mkuu hauko makini kabisa, hizo ndo sababu ukampiga chini?
Nyie waongo bhanaAisee siku nikipata mwanamke atakayenipenda namna hiyo nitatulizana mazima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili ndio gurudumu la maendeleo. Inapendeza kwa kweli, nitoe wito kwa serikali iongeze kasi kuwafikisha wanawake hasa hawa wadada kwenye gurudumu la maendeleo
Hahaha...zile za baby I miss you....baby umekula..
Hahaha..aiseeApo sasaa....tena wengine kaz zetu izi za sites unakuta mtu upo juu ya nguzo ya umeme mtu anapiga simu unajua labda kuna tatzo unapokea unakutana na swali la baby umekula
Mnaiba ausioAcha tu mwanamke akipend kapenda kwel.
Kuna binti ananipenda kiasi hawez maliza wiki bila kunitafuta (tumeachana) si muongi wala simpi chochote.Huwa ananisimulia story za wanaume wote wanao mtongoza ananiomb ushauri awakubalie au laa. kuhusu swala la kupasha kiporo tulisha wahi pasha mara mbili tu mara zote yeye ndio ananitafut "waOLDmoshi nime ku Miss sana nakuja kukupikia" inamchukua si chini ya masaa 3 kufika niliko
Saiz tumekua marafiki
Ni kweli kabsaWanawake wakipenda wanapenda kweli. Hili nimelishuhudia.
Karmaa anakupaa funzo mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli mwanamke akipenda kapenda kweli mimi kuna demu nilimtongoza kiuta utani akatiki sasa ila mazoea zoea kumbe mtoto akazama kweli dah picha likaanzia hapo.
Mimi sikuwahi kuwa na hisia nae yaan hata kumgegeda ilichukua mda sana ikabidi nimwambie ukweli kuwa siwezi endelea nae coz simpendi
Lakini wapi akawa analia mda mwingine mpaka anaumwa analazwa kabisa namuonea huruma namrudia kila nikijitahidi nivute hisia nimpende nashndwa baada ya wiki najikuta simtaki tena
After 3 yrs ndo nikamgegeda kwa mara ya kwanza yaani hapo ndo niliwasha moto kwani alikua ni zaid ya sikio la kufa si kwa maupendo yale.
Mwisho wa siku akaja akajua simtak coz nina mtu mwngne ninae mpenda nikajua ataniacha pamoja na kuwa namweka huyu nimpendae dp na kumpost status lakini wapi mtoto akakaza
Ikabidi nmtafutie kisa tu ili nimwache sikutaka mpotezea muda na malengo yake bure
Note: nimedumu nae kwa sababu mda mwngi nilikua chuoni na yeye ni wa home town.
But saa hiz naisoma joto ya jiwe nilie mpenda kajiaminisha nampenda sasa mashauzi yamenigeukia duh kwel malipo ni hapa hapa chini ya jua
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Tunakutoa kwenye kundi la wanaume hakuna mwanaume anatulia mazima tunatulia kidogo tuAisee siku nikipata mwanamke atakayenipenda namna hiyo nitatulizana mazima
Mkuu umeongea point kubwa Sanaaa...!! Yani daahWanasemaga mapenzi ya sisi wanaune yanaanzia 100% kurudi nyuma while ya wanawake yanaanzia 0% kwenda 100% so wakati yeye kafika 100% sisi tupo 0% tunaachia ngazi matokeo yake anaweza jiua!