assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Wakifanya hilo hitaji la moyo wako ndiyo majibu kuhusu mkataba na DP World yatakuwa yamewafikia wananchi?Ukipewa changamoto unapaswa uikabili positively na siyo kuanzisha ugomvi.Utaonesha kuwa hauna nia njema tena.Hoja kwa hoja.Siyo hoja kwa risasi.Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
cc waziri wa habari
Kuuza Bandari ni uhaini zaidi.Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
watu watoe maoni bila kumtukuna mtu.Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Raisi chukua hatua Kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Hujaweka namba za simu. TUSI liko wapi?sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Raisi chukua hatua Kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka
Matusi gani unayazungumzia wewe zaidi ya kuhoji uwazi wa faida za mkataba wa bandari Kati ya Tanzania na Dubai.
Raisi ni taasisi iliyo timilifu hivyo kila mmoja ndani yake anajua lipi tusi na si tusi(wenyewe watahitaji handbreak soon wanawekewa).
Wapi nchi yetu ilipouzwa na kwa shillingi ngapi? Acha kukaririshwa maneno ya uongo Kama kasuku.Ila kuuza nchi yetu sio uhaini??
Acha kujipendekeza pendekeza mtoto wa kiume.
Acha kusikiliza maneno ya vijiweni mkuu.Kama dini yake inamtuma kuuza nchi yetu acha atukanwe
Huna unachojua endelea kuwa mtetezi wa wezi.Wapi nchi yetu ilipouzwa na kwa shillingi ngapi? Acha kukaririshwa maneno ya uongo Kama kasuku.
Tafsiri ya tusi ni ipi, raisi kuwaambia watendaji walio chini yake ni stupid sio tusi, ukiambiwa ni mjinga sio tusi...... Tafsiri hasa ya tusi ni nini?Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
watu watoe maoni bila kumtukuna mtu.Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Raisi chukua hatua Kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Sambamba na huu uzi wako, Je huoni kuwa ni vyema ukatumia haki yako ya kikatiba ukafungua mashtaka mahakamani, kuwashitaki hao watuhumiwa wa huo uhaini?Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa matusi Kwa kisingizio Cha kutoa maoni. pia vyombo vya habari na mitandao ambavyo huandika matusi vipelekwe Baraza la habari kujieleza.
watu watoe maoni bila kumtukuna mtu.Narudia uhuru usio na mipaka ni utumwa.
sisi pia ni wananchi Tunakuomba Mh Raisi chukua hatua Kwa wanaokutusi najua hua unapitia hapa ni matumaini yangu tutaona hatua zikichukuliwa kwa haraka.
cc waziri wa mambo ya ndani
cc IGP
cc waziri wa habari
Uhuru usio na mipaka ni uhaini.

Na mtu anayechukua mali yako bila ruhusa na kuiuza mleta uzi atuambie tumuite nani?Matusi gani unayazungumzia wewe zaidi ya kuhoji uwazi wa faida za mkataba wa bandari Kati ya Tanzania na Dubai.
Raisi ni taasisi iliyo timilifu hivyo kila mmoja ndani yake anajua lipi tusi na si tusi(wenyewe watahitaji handbreak soon wanawekewa).
Sanasana zote zinamgeukia anayesemwa kutusiwa.Hizi ndizo tafsiri za neno uhaini
1. Tendo la kusaliti nchi yako, mipango ya kupindua serikali
2. Tendo la kuvunja mkataba au kufanya jambo kinyume cha lile ambalo uliahidi kwa mfano kula amana ya mtu
Katika tafsiri zote mbili kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili, sioni hata moja inayoendana na tuhuma ulizozitaja...