Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Katika ujinga mkubwa sana kwa watanzania ambao tumeufanya kipindi hiki cha mwisho cha utawala wa JK ni kumtosa Prof. MUHONGO. Huyu mtu amekuwa ingini ya maendeleo ya sector ya nishati nchini kwa asilimia kubwa sana. Amejitahidi sana kuweka sawa masuala ya nguzo za tz kutoka South Africa na pia amefanikiwa kushusha gharama za conne tion majumbani. Hatujaongelea mkakati wa gas na miradi mingi sana kuanzia kiwira mpaka mchuchuma.
Watanzania tumezoea kushikwa shikwa na ujinga jinga ikafikia sehemu tukawa wajinga sana na kushawishi system kumtoa! Lazima Mungu, ama katuroga au katulaani mpaka vichwa haviwazi tena.
Mwenyezi Mungu mpe amani Prof.