minze manonu
Member
- Nov 27, 2013
- 50
- 16
mie ukija na gia ya kuoa unaambulia cha mbavu hahaha..bora hata uje na sound za ku-date kawaidaa...kuoa uchuro mwee!
Nyie ndio hamtaki kuolewa enh??
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
tangazoooooooooo kwa mademu vichecheee dawa nikuwavisha pete tu akapige nayo pichamie ukija na gia ya kuoa
unaambulia cha mbavu hahaha..bora hata uje na sound za ku-date
kawaidaa...kuoa uchuro mwee!
tunataka sana mkuu....ila asikwambie mtu mambo ya kuoana yanatokea automatical na cyo kulazimishana au kukomalia aisee,,ndoa na iheshimiwe na watu wotee:smile-big:
usidharau wote mwoaji utamtambua tu kwa hukuthamini hatakuingiza viwanja flani hivi vile special kwa magumegume na mtu kula kidiga tu utamjua baada ya gemu humjuanikama mwanaume anataka nimdharau kabisa ajaribu kuingia na hiyo gia
Nipe nafasi basi.. nivute jiko mie
du hii mada imesaidia kuwatambua single ladies sasa wasubili tu ma mp ya kumwagame kwanza nikitongozwa huwa
nataman kutapika. Kma nakutaman ntakwambia mwenyew nj sio wew uji2tumue
et mara ooh i want to marry u, sitaki.