kumtongoza mwanamke kwa gia ya kuoa

minze manonu

Member
Nov 27, 2013
50
16
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha
 
mie ukija na gia ya kuoa unaambulia cha mbavu hahaha..bora hata uje na sound za ku-date kawaidaa...kuoa uchuro mwee!
 
Em ht we saidia a girl afanye uchuguz zaidi kivp km had mtu ashakuja kujitambulisha,cz those r among th thngs that make u really believe he's serious,smtym km ipo ipo tu na km haipo haipo tu,
though nt exactly th same ,ndoa nwadays dizain km any othr relationship u cn divorce and get on to anothr rlship o marry sm1 else
 
Me kwanza nikitongozwa huwa nataman kutapika. Kma nakutaman ntakwambia mwenyew nj sio wew uji2tumue et mara ooh i want to marry u, sitaki.
 
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja na kujitambulisha

gia kubwa kwao ni kuwadanganya tuu basi
 
Hao ni wale wasiojiamini, kidume halisi umtongoza mwanamke kwa uwazi na ukweli, hata akikataa huna cha kupoteza, kwa nini umdanganye? Ukweli siku zote unakuweka huru.
 
tunataka sana mkuu....ila asikwambie mtu mambo ya kuoana yanatokea automatical na cyo kulazimishana au kukomalia aisee,,ndoa na iheshimiwe na watu wotee:smile-big:

Nipe nafasi basi.. nivute jiko mie
 
kama mwanaume anataka nimdharau kabisa ajaribu kuingia na hiyo gia
usidharau wote mwoaji utamtambua tu kwa hukuthamini hatakuingiza viwanja flani hivi vile special kwa magumegume na mtu kula kidiga tu utamjua baada ya gemu humjuani
 
Kweli kabisa yamemkuta shogaangu juzi jamaa alikua mkoani akaongea na mama ake kuwa yu ataka kumuoa Binti akasema lazima ampagawishe siku jamaa anakuja ili amuoe fasta kumbe jamaa tapeli.alipokuja jamaa kajilia vyake taratibu kasepa demu akipiga cm haipokelewi mpaka sasa.
 
me kwanza nikitongozwa huwa
nataman kutapika. Kma nakutaman ntakwambia mwenyew nj sio wew uji2tumue
et mara ooh i want to marry u, sitaki.
du hii mada imesaidia kuwatambua single ladies sasa wasubili tu ma mp ya kumwaga
 
kuna mmoja hatukuwahi hata kudate tulikuwa tu tunapeana salamu akaja kunishtukiza anataka kuleta posa home nilimtoa nduki hakuamini na hakurudia tena kunitamkia posa so kwangu mimi ukija na gia ya kunioa utajuta kunifaham coz najua humaanishi
 
Back
Top Bottom