Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Wadau, naombeni kujuzwa hapa. Kuna ule usemi unaosema maneno matam ya kumtoa nyoka pangoni.
Je ni maneno gani yanaweza kuwa matam kiasi cha kumtoa nyoka pangoni?
Je huyo nyoka anayezungumziwa ni huyu huyu tunayemfahamu au ni yule anayekaa ndani ya trouser?
Naombeni mawazo yenu.