Mkuu ulivyotaja tu bagamoyo kilichonijia akilini ni mambo mawili kuhusu hiyo kadi ya mchango uliyopewa;
1. Kumtoa mtoto yaweza kuwa kwamba aliyekupa kadi mke wake au mwanamke alijifungua mtoto siku kadhaa zilizopita hivyo huyo mtoto baada ya kuzaliwa then anahitajika kufanyiwa kasherehe ambapo sasa atakuwa anaweza kuchanganyika na other members of the community. Sijui ni watu wa itikadi gani lakini kama ni waislam hiyo kitu huitwa siku 40 baada ya mtoto kuzaliwa ambapo huendana na kisomo ( maulidi) watu hula na kunywa na kufurahi na ndipo hata huyo mtoto hunyolewa zile nywele wanazoita za utotoni yaani alizozaliwa nazo.
2. Huenda huyo aliyekupa kadi ana binti yake aliyevunja ungo na kwa mila zao huwekwa ndani kwa muda fulani akifundishwa mambo yanayoendana na majukumu ya mwanamke then baada ya huo muda hufanyika sherehe ya kumtoa huyo binti. Hii mara nyingi huendana na sherehe ya ngoma zaidi sijawahi kuona maulid ikifanyika zaidi ya watu kula, kunywa na kucheza.....Nina uhakika moja kati ya haya mawili linahisika hapo!
Tatizo dada yangu ni definition ya vitu important ni vipi hivyo? ndiyo maana hata hili swala wamenisisitiza kwamba nitoe mchango ili kufanikisha "swala hili muhimu"Hakuna kitu kinanibo na kurudisha nyuma maendeleo na mambo muhimu kama michango!!! Nisamehewe ila sipendi na huwa sichangi, nachanga kwa vitu important na watu important, tena kile nilichonacho sio kile watakacho. Nways cjui maana, ngoja wenyeji waje!
..Mkuu haya mambo ukiyaangalia kwa undani utagundua ni kamtindo kamezoeleka ndani ya jamii kuchangiana kwa yale mambo ambayo yanahusisha jamii husika. lakini kiukweli hayana tija hata kidogo. Niliwahi wakati fulani kusababisha manung'uniko na mtafaruku kwenye familia yetu. Tulikuwa na mtoto wa sister wetu amepata admission CBE kusoma Advanced Diploma (Self sponsorship) at the same time tulikuwa na mtoto wa baba yetu mkubwa anataka kuoa. Utakuta yote yalikuwa yanatutegemea cc kuchangia mambo yote. Nikatoa wazo baada ya kuona hali kwa mambo yote mawili hayaendi. Kwa nini tusielekeze nguvu kumchangia huyu mwanafunzi aende chuo then huyu anayetaka kuoa achukue tu mke wake kwa a very simple sherehe...Weeeeeeh!!!!! Yalitoka maneno hapo acha tu sitaki kukumbuka hiyo siku...Kwa hiyo ili ku-maintain mahusiano na ujirani mwema we changia tu ulichonacho....Tatizo dada yangu ni definition ya vitu important ni vipi hivyo? ndiyo maana hata hili swala wamenisisitiza kwamba nitoe mchango ili kufanikisha "swala hili muhimu"
Inauma sana kufanya kitu kinafiki any way nitafanya hivyo kinafiki lakini huwa sifurahishwi na vimichango vya aina hii..Mkuu haya mambo ukiyaangalia kwa undani utagundua ni kamtindo kamezoeleka ndani ya jamii kuchangiana kwa yale mambo ambayo yanahusisha jamii husika. lakini kiukweli hayana tija hata kidogo. Niliwahi wakati fulani kusababisha manung'uniko na mtafaruku kwenye familia yetu. Tulikuwa na mtoto wa sister wetu amepata admission CBE kusoma Advanced Diploma (Self sponsorship) at the same time tulikuwa na mtoto wa baba yetu mkubwa anataka kuoa. Utakuta yote yalikuwa yanatutegemea cc kuchangia mambo yote. Nikatoa wazo baada ya kuona hali kwa mambo yote mawili hayaendi. Kwa nini tusielekeze nguvu kumchangia huyu mwanafunzi aende chuo then huyu anayetaka kuoa achukue tu mke wake kwa a very simple sherehe...Weeeeeeh!!!!! Yalitoka maneno hapo acha tu sitaki kukumbuka hiyo siku...Kwa hiyo ili ku-maintain mahusiano na ujirani mwema we changia tu ulichonacho....
...1. Kumtoa mtoto yaweza kuwa kwamba aliyekupa kadi mke wake au mwanamke alijifungua mtoto siku kadhaa zilizopita hivyo huyo mtoto baada ya kuzaliwa then anahitajika kufanyiwa kasherehe ambapo sasa atakuwa anaweza kuchanganyika na other members of the community. Sijui ni watu wa itikadi gani lakini kama ni waislam hiyo kitu huitwa siku 40 baada ya mtoto kuzaliwa ambapo huendana na kisomo ( maulidi) watu hula na kunywa na kufurahi na ndipo hata huyo mtoto hunyolewa zile nywele wanazoita za utotoni yaani alizozaliwa nazo.