Watanzania ni watu wa ajabu sana, na wanasahau harak san kwasababu ya pesa! Ila ninachoamini ni Kuwa lowasa hawezi kuwa rais, kwanza ndan ya CCM hatoki na akitoka ukawa tunamsubiri kaz iwe rahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.