Kumtafuta mchepuko wa mumeo

Achana nae Nawe jifanye Upo busy ahisi kama unachepuka hivi na usimjali kabisa utamuona atabadilika mnakaa ndani hata humstui mmeo kumrusha roho anakuona dada ake
Kweli kabisa lazima aanze kujithamini mwenyewe ndo atathaminiwa, akimrusha roho kidogo tuu lazima mwanaume atapata wivu.
 
Achana nae Nawe jifanye Upo busy ahisi kama unachepuka hivi na usimjali kabisa utamuona atabadilika mnakaa ndani hata humstui mmeo kumrusha roho anakuona dada ake
Nitalitendea kazi my dear asantee
 
Ushauri mtandaoni ushauri toka kwa wabobevu ambao wote ndoa ni kiza mbele ya macho Yao.
Jipe muda mradi ushamchana ukweli wanaume huwa tuna nafasi ya majuto inabakiaga empty ila muda una jibu lako.
#Ninge kibao
 
Achana na habari za kumfatilia Ila kuwa na msimamo
 
Nitayatafuta kwakweli asante sana ndugu yangu
Na ukitaka kupambana pambana na mchumba wako aache michepuko, michepuko inakuja na mengi sana ya kuharibu kumbuka mchepuko siku zote anamjua mke lakini mke hajui, mchepuko anaweza ata kumdhuru mke ili aolewe yeye.. ni heri kuwa single kuliko kuwa na mume mchepukaji kila Kona.. pambana na mchumba wako awe na tabia njema achana na michepuko yake.
 
Huyo jamaa yako hakupendi,hakuheshimu,hana hisia na wewe,hajali kwa hatua yeyote utakayoichukua dhidi yake,

Ushauri wangu ni kwamba,huyo mwanaume hakufai achana nae haraka sana,life is too short kuishi kwa mashaka mashaka au kuishi bila ya kua na furaha,

Achana na hicho kiumbe,rudi kwenu au kaishi peke yako,unapopotea njia ni vizuri kutulia na kuianza safari yako upya tena,huyo akisha kuoa atakutesa sana na utajuta,wake up and live.
 
Nitalitendea kazi my dear asantee
Nakushauri usiufuate huo ushauri. Mke wa Kaisari aliachika kwa kuhisiwa anachepuka licha ya uchunguzi kuonyesha kuwa hachepuki. Mumewe alimuacha huku akidai Mke wa kaisari hapaswi kuhisiwa kuwa anachepuka.

Ushauri wangu, ombea hako kaupendo kadogo ambako jamaa bado anako kwako kasiishe kwa maana hako ndo kanawaunganisha bado. Hako kaupendo kakihamia mazima kwa mchepuko utabadilishwa jina na kuitwa single mother
 
Deal na wako, huyo dada hana hatia yyt amependwa kama wewe ulivyokuwa unapendwa!
 
Nikushukuru sana sana.. nitajitajidi na MUNGU anisaidie kwakweli
 
Huyo bwana ako hana heshima wala mapenzi na wewe
Kumtafuta huyo mchepuko wa bwana ako ni ujinga ila Pole mwaya
 
Duu! Umenikumbusha uzi wa kamanda DeepPond nesi kumpa dozi ya dawa ya matone mumewe hadi kuwa hanithi na hadi kufa kabisa. Chanzo huanza hivi kama masihara vile.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo yeye awe busy anaombea hako kaupendo ili hali mwanaume yuko busy ana enjoy 🤣 huo si utumwa jamani. Kwani nani kasema single maza hawaolewi na pia sio lazima kuolewa kama hujampata mtu sahihi wa kuthamini upendo wako kwake.
 
Wala usimtafute jitahidi uwe mtu wa furaha usimuulize kitu huyo mumeo vaa pendeza usiwe mtu wa kujali kuchelewa kwake japo ina kera sana uone kama haja badilika
Kama huyo mwanaume anampenda atabadilika,ila kama hampendi ansishi naye tu kwa sababu ya mtoto ndo atazidisha vituko na mwisho wa siku atashangaa na mtoto kazaliwa,ni huzuni kwa kweli
 
Point nzuri sana hii
 
Ondoka Haraka.... Furaha yako ni Muhimu.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…