kumspy mpenzi wako

Ni wewe mwenyewe!
Pole sana wacha kumsingizia uyo dogo

D.A "Mwanaume mashine"
 
Ukiamua kumspy mpenzi wako jua umeamua na kumuacha kabisa sio unamspy na kumuacha huwezi unabaki kulialia tu na uchungu
 
nonaomba msaada wa hiyo app kuinganisha ma laptop pls nataka mimi bunafsi nikiwa ofisin bitumie laptop tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumspy mpenzi bila report ni sawa na kunywa juisi ya vyupa vilivyosagwa...
utamu wa kuspy ni ku analyse na kupresent report in both side pia kuonesha utekelezaji au mpango kazi ujao ili kujiridhisha...

mfano mimi itara, nikimspy mpenzi wangu huwa siachi kitu kama nitamkuta na dosari naingia upende wenye dosar nao na u tails, nachukua details muhimu kama family friend nachukua detais za wadogo zake wa kike.. naingia nacheki wapenziwe nk...
baada ya hapo nampa report mpenzi wangu kuwa iknow everything na baadae asipo sitisha nitamfuata mdogo wake na mchepuke ni ta mla... then nitamla na mpenziwe... au hio habar nimpigie huyo jamaa nikiwa kwenye u anonymous ni mwambie a stop au ni activate mode ya kuwala mdogo wake au dada yake au mpenziwe...

hizo ndoto.. tu.. try it on your own risk
 

Allah...angekufa kwa kiherehere chake..na mdogo wako anaonekana alikufa akaoza kwa binti hadi anafikia stage ya kutrac mawasiliano ..na binti kwake alikuwa anawachanganya kama maharage na viungo vyake...mpe pole mwambie atafute hela na maisha yake wakwake yupo tu nae anahangaishwa kama yeye anavyohangaika kupenda asipopendeka
 
alidata sana sema manz akawa anazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…