Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Wewe tu
Ungeonana namm muda huu ungekuwa unanyonyesha watt mapacha jf hutaki hata kuisifia
Wewe tu
utakuwa kalamnzira wew Nyota yako ya Uganga Uganga Nuktaaa1: Hivi inakuwaje unakutana na mtu mnaelewana kabisa na unaona huyu mtapatana vyema,,kuna vitu mnakua vinafanana
Kuna mwingine ukionana nae tu hutaki tena kumsikia ,,unaona anakuboa tu
Nieleweke inatokea kwenye jamii zetu kuna mtu au watu wao watakuchangamkia lakin wewe hujisikii kabisa hata kuwa nao karibu
Wanaita damu kupatana na kutopatana
Mfano mim nikikaa na mtu awe mdada au mkaka,najua hapa sina mtu kabisa,,au ukimuangalia usoni mtu unaona kama anakuwazia mabaya tu
Mim mtu akiwa hanipendi najua tu huyu haziivi kabisa naepuka nakaa mbali na huyo mtu
Je ushawah msoma mtu ukamuelewa alivyo na ikawa kweli,uso wa mtu una mambo mengi sana
2: je inakuwaje mtu anakuudhi halaf unasema kabisa kwa kunuia yaan wewe ukijapata kazi au ukifanikiwa hivi unishike makalio,,na inakuwa kweli aisee huyo mtu hapati kazi wala nini na hujamroga wala nin umejisemea tu na inakuwa kweli
Kuna mtu nilishawa nuia maneno mabaya kwake na kweli inatokea nishajitahidi kumuombea yaishe lakin naona bado,,ila naona kama hajabadilika hivi aliniudhi sana nilimuambia kua machozi yangu hayaendi bure ,,lakin imefikia hatua nishamsamehe nahitaji afanikiwe na simuhitaji kabisa,,lakin mambo yake yashagoma wenzie wanafanikiwa tu
Basi nawataki jioni njema
Ujitahidi tena??Kauli kauli mdomo huumba mtu unatakiwa ujitahidi kumnenea mabaya mwenzio
Aisee nimekosea ujitahidi usimnenee mabayaUjitahidi tena??