miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jul 4, 2017 #21 ha hahaha
Juma chief JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 2,764 Reaction score 2,368 Jul 4, 2017 #22 Auz said: Hiyo hesabu ni ya mtu aliyekomaa ambaye yuko madarasa ya juu. Chekechea kila kitu kama sio picha ni kwa uhalisia, sio kwa kufikiria. Click to expand... kwa kukariri nyimbo za shule ndio balaa....huo umri..
Auz said: Hiyo hesabu ni ya mtu aliyekomaa ambaye yuko madarasa ya juu. Chekechea kila kitu kama sio picha ni kwa uhalisia, sio kwa kufikiria. Click to expand... kwa kukariri nyimbo za shule ndio balaa....huo umri..
buthabutha JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 659 Reaction score 397 Jul 4, 2017 #23 mjasiliaupeo said: Hizo kusaidiwa home work na wazazi ni tatizo sana, najiuliza homework akikusaidia mshua alafu ukakosa zote sijui utamwangalia kwa jicho gani! Au unavunga kumlindia heshima. Click to expand... Hapo itabidi uvunge
mjasiliaupeo said: Hizo kusaidiwa home work na wazazi ni tatizo sana, najiuliza homework akikusaidia mshua alafu ukakosa zote sijui utamwangalia kwa jicho gani! Au unavunga kumlindia heshima. Click to expand... Hapo itabidi uvunge
msakini JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 382 Reaction score 676 Jul 7, 2017 #25 Du huyo ndo mjanja hadanganyiki