Kumradhi Rais Museveni, very sorry

Bado sijaona Kosa lolote lile la Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli yake ile ambayo naiita ni ya ' Kiufanisi ' kuelekea katika Maendeleo ya haraka baina ya nchi mbili hizi aliyomwambia Mheshimiwa Rais Museveni. Ninachokiona tu sasa ni muendelezo wa Majungu na Uswahili wetu ambao Watanzania tumebarikiwa nayo. Na ili muone mlivyo Wanafiki wakati mkimshangaa Rais JPM kumwambia hivyo Rais M7 kuna Watu hapa hapa huko Majumbani mwenu pale mkiwaona Watoto wa Jirani zenu wamekosea au kufanya Kosa huwa mnakuwa na Kiherehere kuwaambia Wazazi wao wawaadhibu na huwa wanaadhibiwa kweli. Je hapo tofauti Kimantiki iko wapi? Nasisitiza tupunguze Chuki zetu zilizopitiliza kwa Rais wetu JPM kwani hazitusaidii kabisa. Rais JPM huwa ana Mapungufu yake na hata Mimi nakiri wazi kuwa huwa ni Mmoja wa Wakosoaji ( Critics ) wake wazuri na wakubwa tu hapa Jamvini ila kwa hii Kauli yake dhidi ya Rais M7 wala sijaona ' walakini ' wake wowote na najua hata Rais Museveni alimuelewa na huenda nae sasa akaanza kuwa Mkali huko nchini Kwake Uganda.
praise timu oyeeee!

wazee wa kusifu na kumuabudu Magufuli,''mshamba wa chato''

usije ukasahau kinanda,kinubi na tarumbeta.
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile.

Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry.

Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
Sahihi kabisa, na inaonekana Museveni alichukizwa na hiyo maana sijaona mahali akijibu hiyo hoja. kama aliijibu naomba nijulishwe.
Ila ni jambo la aibu kubwa kabisa kwamba kiongozi wetu anamvunjia heshima kiongozi mwingine katika jumuiya ya afrika mashariki
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile.

Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry.

Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
Kweli kabisa na nikama vile jamaa hajui jinsi ya kuongoza kwa hiyo anataka amsaidie kuongoza nchi, hahahahahaha hajatosheka tuu na nchi yake????
 
Mh naomba radhi kwa niaba ya watanzania wenzangu. Tunasikitishwa na tukio la juzi la kuambiwa hadharani kwa njia ambayo sisi wengine haijatufurahisha kwamba uwachukulie hatua wasaidizi wako katika Hali ile.

Katika mazingira Yale ya kuchonganisha kwa wasaidizi wako na wewe binafsi na kushusha hadhi ya mamlaka na watu wa Uganda. Very sorry.

Mh sisi watanzania wengine hatukufurahi na tunaomba utusamehe.
Wabongo bana ukweli ukisemwa mnaanza Maneno ya kanga
 
Back
Top Bottom