Kumradhi Mh Zitto Kabwe


Mkuu ndiyo mana nimekuwa confused na kumuuliza MKJJ yeye anasemaje, I trust the guy, can say something. Pili hatuwezi kurely kwenye mawazo ya Zitto, ni kama watanzania hawana solution?? ila afadhali Zito amesema, nimeuliza wengi hili swala, wengine hawajui waanzie wapi, tatizo ndio hili! Siamini kama Ziito ni fisadi yeye anasema kama yeye, na yeye sio nabii! swala je sisi wengine tunashaur nini?? hao akina mwakyembe kimya, watu wanakufa!


Nashukuru kwa post yako, mawazo ya MKJJ kama alisema jamaa watimuliwe alikuwa sahihi, japo alisahau JK angewafukuza kazi kivipi, wizara ambayo hata yeye alishindwa?? na je Hiyo mitambo hakuna mkono wa JK?? KAMA HUPO tumfanye nini?? (hapo ndio kaaaazi)

Tutaongea, tutapiga kelele, lakini mawazo ya MKJJ, bado anarudi katika kundi la watanzania wastaarabu , wenye brain, wenye mawazo ya upole na akili za upendo.

wakiamini kuwa mawazo yao yatasikilizwa, lakini imekuwa proved, HAKUNA KITU KAMA HICO, JK KUSIKILIZA MAWAZO MAZURI YA WATU KAMA AKINA MKJJ afadhali atembee uchi kariakoo!

Swali je, tunafanya nini?? tunbashauri nini kifanyike?? ikiwa tunaowaleleza ni kama Nguruwe they dont listen at all!

Nasema niko confused mkuu, siko katika hali ya kawaida sana.Ikiwa watanzania leo hii hawataungana na kusema CCM basi ondokeni madarani basi ushauri wa Zitto ni mzuri zaidi( acha tufe tukjua nani anatuua!!!)

IKIWA WATANZANIA LEO HII TUTASEMA NO, WOTE TUAMKE TUTA TATUA MATATIZO MEENGI SANA SIYO TANESCO TU!

Nikifikia hapo, kuna mtu atasema HOW??, well, VYAMA VYA UPINZANI VILITAKIWA VITUMIE HII CHANCE KULETA MAPINDUZI, vyama viko kimyaaa!! they all seek friendness with JK! ask Mbowe!

Ninapowaona watu wanapiga kelele usiku na mchana humu wakisema CHADEMA chama mbadala , huwa napata ugonjwa wa moyo, IS THIS REAL IN THIS TANZANIA??

NILIAMINI , NILIJUA MAWAZO YA ZITTO NI KUWA CCM YOTE I-STEP DOWN, NA KESHO WANAINGIA MITAANI KWA MAANDAMANO, lolote litakalotokea, acha tufanye maandamo kama mwezi , mwaka, tunachotaka CCM ing'oke

IKIFIKA MUDA TUKAONA HII OPTION YA KUWAONDOA CCM MADARAKANI KWA DEMONSTRATION HAIFANYI KAZI, kwa sababu sisi wenyewe tunaridhika na dhiki hizi, wala hatuko ready for some moves. Then what Zito said is relevant for TANZANIAN!

Ninapomwona Zitto , namheshimu,naona anaakili sana, zilizojaa ustaarabu jamii ile ile ya akina MKJJ, these guys are smart, trust me, LAKINI NAONA WANATAKIWA ZAIDI KUMSHAURI OBAMA NA STEVE HARPER, those guys that they may listen from them and probably do what they desire.

KWA DUNIA YA TATU, mawazo ya hawa jamaa akina Ziito, MKJJ-HAYAFANYI KAZI SASA. naona yanatakiwa kusikilizwa miaka 50 ijayo. WAKATI BASE IMEWEKWA, base ya kutengeneza viongozi wataowasikiliza wananchi wao!!!, The time to train these leaders is now!

I think we should think differently now! upole wetu huu unatuua.
 
kwa kuwa wewe una akili, basi ulitakiwa ujumlishe akili za wataalamu wengi, moja ni wa mambo ya umeme, ambao wata recommend aina ya mtambo unao hitajika, then wanakuja wa mambo ya sheria wataangalia legality of that contract na consequencies zake , then mambo ya ununuzi na mambo ya finance ambaye ataangalia njia za kupata fedha za kununua , sasa engineer huwezi kumuhusisha katika masuala mengine zaidi ya kusema nataka generator or turbine ya 100mw etc, kwa hiyo nakuomba ufikirie kwa mapana zaidi na ujue mambo yanayo husika na kununua mitambo.
 
Waberoya,
I think we should think differently now! upole wetu huu unatuua.
Jibu unalo..Rejea mada ya Rev. Kishoka inayohusu Utulivu na Ukimya wetu kuwa ndio ishara ya amani nchini..
 
Usiishie kwa Idris....angeanza the Top! Waziri Ngeleja!!! na obdi nzima ipigwe chini
 
...mawazo kama haya mtakaa gizani milele!

Kabisaa! Zito hata huyu Masatu wanaweza kuwa na nia nzuri lakini dhamira zao hazilisaidii Taifa hata kidogo. Kinachogombaniwa hapa sikwamba mitambo ya Dowans siyo suluhisho bali hatutaki kuwatia moyo mafisadi kwamba wanaweza kututega namna hii na tukaingia mkenge kwasababu kama taifa hatuma miiko yani solutions halali na haramu zote ni sawa ilimradi zina tatua matatizo yetu. Mawazo na misimamo ya namna hii lazima ipingwe kwa nguvu zote. Mawazo ya Zito yangetufaa kama nchi yetu ingekuwa kampuni, lakini si kampuni ni taifa ambalo linajali hali ya vizazi vyake vya sasa na baadae, hivyo ni bora kuvumilia hii blackmail ya giza kuliko kukubali mwanga wa muda na kurudi gizani mwakani na miaka ijayo.

We should say no to anything that benefits 'mafisadi' because they don't have our best interest at heart.
 

And ignore their whistle blowers!
 

na wewe una ka-harufu ka ufisadi...!
 
Wenye vision waliyaona haya long time.

Zitto for presidency....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…