Zitto is a champion on this issue.
After being given technicalities of buying,transportation and installation of new machines he realized that,no way can new machines be bought and operate in time before the country be in DARK.
It could be wise to buy those for emergence while procedures are made to tackle the problem once and for all.
"Strong man is the one who stands alone". Zitto you're the one.
Mh Zitto, nianze kwa kukiri mimi nilikuwa miongoni mwa wana JF wengi tuliokuzonga kwa kejeri, shutma, kashfa na dhihaka kadha wa kadha kuhusiana na msimamo wako kwenye suala zima la ununuzi wa mitambo ya Dowans.
Mheshimiwa, ulikuwa sahihi kwa kusimamia kile unachoamini ni sahihi. Hii ndio sifa adimu ya kiongozi. Naamini hata wewe mwenyewe ulijua toka mwanzo kuwa uamuzi wako wa kutetea ununuzi wa mitambo ile hautakuwa popular na pengine ni kitanzi cha kisiasa. Lakini kwa ujasiri usiomithilika uliendelea kujenga hoja na wengi tulitia pamba masikioni mwetu na kukuita majina mabaya lukuki. Binafsi nilikwenda mbali zaidi na kukuita fisadi. Hili ndilo limenisukuma kuandika waraka huu mfupi ili kukuomba msamaha kwa maandishi yote machafu juu yako. Naamini tupo wengi wa aina hii lakini wenzangu wanakosa uthubutu wa kukiri na wanajichimbia kwenye keyboard zao.
Taifa leo lipo latika kiza, kwa sababu ya watu wachache waliokataa ushauri wa wataalam. Wale "wapiganaji" wanaona soni nyuso zimewashuka wanatapatapa kutafuta justification ya uamuzi wao mbovu ambao umeligharimu na utaendelea kuligharimu taifa kwa hasara kubwa.
Mheshimiwa watani zangu wazaramo wana msemo ufuatao "akutukanae kilabu cha pombe usisubiri kesho yake na wewe mrudishie matusi yake huko huko kilabu cha pombe" Kwa kuwa kashfa nilizitoa hapa JF nalazimika kuomba msamaha hapa hapa JF na ni matumaini yangu utanisamehe.
Nimalizie kwa kukiri na kusema kuwa Mh, wewe ni hazina ya taifa hili. Kama kiongozi vision yako ni kubwa kuliko umri wako. Pamoja na kuwa wanasiasa wanaepuka sana kujiingiza katika masuala tata kwa kuchelea kushusha credibility zao wewe umeweka utanzania wako mbele bila kuogopa kupoteza umaarufu wako wa kisiasa and spot on, you got it right.
Bravo Mh Zitto na endelea na misimamo yako thabithi yenye manufaa kwa taifa letu.
Mheshimiwa naomba kuwasilisha
Mkuu this is the Old story....we had since Kikwete came to power.. Emergence power supply was FOUR years back don't skip the count..Then again it's not about the problem neglected for years, it's about the importance of creativity for sustained economic growth.It could be wise to buy those for emergence while procedures are made to tackle the problem once and for all.
"Strong man is the one who stands alone". Zitto you're the one.
Mh Zitto, nianze kwa kukiri mimi nilikuwa miongoni mwa wana JF wengi tuliokuzonga kwa kejeri, shutma, kashfa na dhihaka kadha wa kadha kuhusiana na msimamo wako kwenye suala zima la ununuzi wa mitambo ya Dowans.
Mheshimiwa, ulikuwa sahihi kwa kusimamia kile unachoamini ni sahihi. Hii ndio sifa adimu ya kiongozi. Naamini hata wewe mwenyewe ulijua toka mwanzo kuwa uamuzi wako wa kutetea ununuzi wa mitambo ile hautakuwa popular na pengine ni kitanzi cha kisiasa. Lakini kwa ujasiri usiomithilika uliendelea kujenga hoja na wengi tulitia pamba masikioni mwetu na kukuita majina mabaya lukuki. Binafsi nilikwenda mbali zaidi na kukuita fisadi. Hili ndilo limenisukuma kuandika waraka huu mfupi ili kukuomba msamaha kwa maandishi yote machafu juu yako. Naamini tupo wengi wa aina hii lakini wenzangu wanakosa uthubutu wa kukiri na wanajichimbia kwenye keyboard zao.
Taifa leo lipo latika kiza, kwa sababu ya watu wachache waliokataa ushauri wa wataalam. Wale "wapiganaji" wanaona soni nyuso zimewashuka wanatapatapa kutafuta justification ya uamuzi wao mbovu ambao umeligharimu na utaendelea kuligharimu taifa kwa hasara kubwa.
Mheshimiwa watani zangu wazaramo wana msemo ufuatao "akutukanae kilabu cha pombe usisubiri kesho yake na wewe mrudishie matusi yake huko huko kilabu cha pombe" Kwa kuwa kashfa nilizitoa hapa JF nalazimika kuomba msamaha hapa hapa JF na ni matumaini yangu utanisamehe.
Nimalizie kwa kukiri na kusema kuwa Mh, wewe ni hazina ya taifa hili. Kama kiongozi vision yako ni kubwa kuliko umri wako. Pamoja na kuwa wanasiasa wanaepuka sana kujiingiza katika masuala tata kwa kuchelea kushusha credibility zao wewe umeweka utanzania wako mbele bila kuogopa kupoteza umaarufu wako wa kisiasa and spot on, you got it right.
Bravo Mh Zitto na endelea na misimamo yako thabithi yenye manufaa kwa taifa letu.
Mheshimiwa naomba kuwasilisha
Umeanza na arguments nzuri tu, ila kwa jinsi ya wewe kutaka JK aonekane msafi, umeamua kuchukua/kuyabeba makosa yake. Well, jisemee nafsi yako kuwa humsaidii raisi na sio sisi wote.JK anakwenda Marekani mara kwa mara. Huko ndiko yaliko makampuni mazito kabisa yanayounda haya majenereta ya kuzalisha umeme. Ameshindwaje kuomba ayatembelee na kuongea nao wamsaidie kumaliza tatizo hili. Au muda mwingi anautumia kwa madaktari wake? Lakini aliweza kuonana na akina Bill Gates, Hasheem Thabiti na yule mchekeshaji! HATUMSAIDII RAIS WETU.
Zitto is a champion on this issue.
After being given technicalities of buying,transportation and installation of new machines he realized that,no way can new machines be bought and operate in time before the country be in DARK.
It could be wise to buy those for emergence while procedures are made to tackle the problem once and for all.
"Strong man is the one who stands alone". Zitto you're the one.
kwi!kwi!kwi!
Mimi mtoto yatima.
spinning....
teh teh teh teh
asavali yako umelitambua hilo
Hahahahah,
Yaani Zitto atakuwa mtu wa ajabu kusikiliza porojo kama hizo. Hata nikibaki peke yangu, sitasita kusema kuwa Zitto hakuwa sahihi katika ushauri wake kwamba tumwage pesa nyingine kuwalipa wezi (DOWANS a.k.a Richmond). Na kama ni kulipa fadhira basi aendelee na kampeni zake! Dowans ni wizi hata ikibidi kukaa gizani hadi JK aondoke madarakani ni poa tu! Wasitufanye wajinga. Ipo siku siri iliyojificha ya Zitto kuwa kipenzi cha watawala na CCM kwenye hili suala la Dowans itafichuka. Nitabki Tomaso milele!

Mandela alikaa miaka 27 jela ili kutetea maslahi ya nchi yake, zitto anasema anatetea maslahi ya nchi yake na anaogopa kukaa gizani miezi miwili ,