BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Lakini sijui kwa nini amenifanyia hivi? Na hii ndiyo inayonichanganya zaidi akili kwa sababu sipati jibu..Kifupi, ni kuwa ameoa (naomba nisielezee zaidi).
Ooh!..kweli nahitaji ushauri wenu juu ya kuendelea na maisha yangu bila kumkumbuka huyu mtu..japokuwa ukweli ni kuwa siwezi kumsahau 100%!!
I'm so confused, stressed & deeply hurt!!..
Hivi ikitokea umempoteza mtu unayempenda unaikabili vipi hii hali?
Yani hata sijui nisemeje, nimechoka kwa mawazo hadi akili kumfikiria sana huyu mtu.
Roho inaniuma na ninakumbuka sana vitu vingi tulivyofanya tukiwa wote. Nahisi nilimpenda sana na kumpa kipaumbele zaidi kuhakikisha tuna penzi imara na lenye muelekeo japokuwa changamoto za hapa na pale hazikukosekana.

Pole sana
We all face a time when we experience a bad breakup with that special person. We
It's something that you cant stop thinking about. It's something very strange which has the power to make you do strange things
Pole sana BelindaJacob,
There so many men/women who have gone through the same situation - I would say 75% of happily married women and men went through the same...
kama vile unausemea moyo wangu kipindi hivi.Hivi ikitokea umempoteza mtu unayempenda unaikabili vipi hii hali?
Yani hata sijui nisemeje, nimechoka kwa mawazo hadi akili kumfikiria sana huyu mtu.
Roho inaniuma na ninakumbuka sana vitu vingi tulivyofanya tukiwa wote. Nahisi nilimpenda sana na kumpa kipaumbele zaidi kuhakikisha tuna penzi imara na lenye muelekeo japokuwa changamoto za hapa na pale hazikukosekana.
Lakini sijui kwa nini amenifanyia hivi? Na hii ndiyo inayonichanganya zaidi akili kwa sababu sipati jibu..Kifupi, ni kuwa ameoa (naomba nisielezee zaidi).
Ooh!..kweli nahitaji ushauri wenu juu ya kuendelea na maisha yangu bila kumkumbuka huyu mtu..japokuwa ukweli ni kuwa siwezi kumsahau 100%!!
I'm so confused, stressed & deeply hurt!!..
Mungu anapokunyima kitu fulani ana sababu. Labda anaacha nafasi ya kukupa kilicho bora zaidi huko mbele. Zidi kumwomba na kumtumainia.
Thanks Mkuu.... NotedKwa faida ya wengi walio/wanao/watakao/pitia hali kama hii, tungeomba mtumie lugha ya kiswahili...tunathamini michango yenu...Tafadhali..mtutafsirie na sisi wengine,
Sasa mbona umerudia tena?Thanks Mkuu.... Noted
Sasa mbona umerudia tena?
Thanks???...... Noted?????...