Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
Walahi nawambia,sisi wanawake tuna kajitabia fulani tulikoaminishwa kuwa kupendwa lazima upewe hela
Yaani ili uonekane unapendwa akupe hela ya matumizi,huo ni ushamba
Utawakuta wanawake salon,oooh nataka kumuacha peter kwa sababu hanipi hela ya matumizi,miezi 3 hanipi hata senti,yeye ni kuniita tu anataka papuchi
Mwingine anasema,Mudy ananipenda balaa,nikiomba tu hela hana chenga,ananipa,
Yaani sisi tumejijengea mawazo kuwa mwanamke ndo anayetakiwa kutoa,kutoa,kutoa,kutoa tu,tena na tena,jamani haya sio mapenzi ni kuumizana
Pia tumejijengea mawazo kuwa unapokuwa na mwanaume basi shida zimeisha,basi unakaa kusoviwa matatizo yako,dah!
Unakuta mwanamke ana kazi yake nzuri tu,ana kipato kizuri tu,lakini anapata mwanaume,anaanza kumuomba hela,anaomba hela,ili mwanamke aonekane anapendwa atakapopewa hiyo hela,huu ni ushamba wa mapenzi,asipopewa atachukia,atakunja sura kama ameonja ndimu,ila ana mshahara wake
Na nyie wanaume, kinachosababisha wanawake wanawaomba hela,au kuwapiga mizinga,ni tabia zenu za kuwa na wanawake wengi
Tunahisi una mwanamke ambaye unamgaharamikia unatuacha sisi tulio na real love kwako,coz kwa michepuko hamjambo
Unamuwezesha hela ya kuzungukia mtaani,labda elfu 50,anampelekea Mwajuma,au anawaza kumhonga mpenzi mpya,wanaume akili zenu muda mwingine hamnazo
Mizinga ni nini?Walahi nawambia,sisi wanawake tuna kajitabia fulani tulikoaminishwa kuwa kupendwa lazima upewe hela

tooANAITWA Money Penny WA Bujibuji. NAMPENDA SANA ILA KUMWAMBIA DOMO LINAKUWA KAMA LIMEMEZA SEMI TRAILER
Akiolewa nampa milion 5Mkuu VP umeolewa?
Uwe unanitag wanaponipiga mzinga niwashukieMoney Penny umepigwa kombora huku, Njoo fastaaaa
🤠😝😝Daah majina n mengi sana lakini umetumia langu la PETER, anyways mwnaume lazma uhonge bna, ugharamike..!Me ndo udhaif wang huo
Hahaahha ebu shangaa sasa asiponihudumia yeye anihudumie naniMimi ni mshamba na am happy kuwa mshamba. Hivyo mwanaume wangu ni lazima anihudumie, thats it.