Kumpiga mchumba

Ila uanze na lile la jana, hamna mwanamke naepokea simu zake kabisa kasoro za mpenzi wangu!
kwa sababu nimeamua kuchukua zinazonifurahisha nitachukua ila ningekuwa nachukua kwa kureason ile ingekuwa ya kwanza kutupiwa kwenye dustbin
 
kwa sababu nimeamua kuchukua zinazonifurahisha nitachukua ila ningekuwa nachukua kwa kureason ile ingekuwa ya kwanza kutupiwa kwenye dustbin
Hahaha af huwezi amini ila ni kweli ya dhati, nikipokea simu ingine ujue ni ya dada. Sitaki mchezo kabisa mimi when it comes to being frank!
 
Mkuu kama anakupenda lazima kuna kitu kajifunzaa... Wangu nilizaba kibao alijikunyataa akahisi kufa kufa.. kesho akanambia aisee wewe mwanaume kumbe una hasira vilee duuh nkajua mpole...!
 
Umefanya vizur alikua anakujaribu
 
Tofauti na walimu wa primary sijawahi kupigwa na mwanaume yeyote except murugulu mmoja hivi.

Kilee kibao hadi leo sijawahi sahau.
Miaka imepitaaa sana, katika harakati za kumsaidia bahati mbaya kwa Siku hiyo nilishindwa kumsaidia.

Niliumia sana kushindwa kumsaidia Siku ile, hata kabla hajanizaba bibao moyoni nilikuwa nalia, na bahati mbaya nilikuwa nimepoteza simu kubwa kiasi kwamba ningekuwa na namba ya staff mwenzangu, ningempigia akanisaidia haraka nikamsaidia Huyu.
Basi nikafanya mbinu nyingine nitowe msaada wa fasta, bahati mbaya nikakosea password Mara tatu simu ikawa blocked.๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

Yesu na maria niliskia kibao kutoka mbinguni paaaaa! Mkononi nilikuwa nimeshika kusimu cha Nokia, kilidondokea mtaa wa pili๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Niliona nyumba zikizunguka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Cha ajabu sikusikia maumivu Siku ile, nilikuja kuumia sikio asubuhi yake na sikusema.

Hivi humu kuna mdada alishawahi kunaswa kibao kama kile???๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜nikiwaza nachekaga maana naona ni upuuzi.

Hivi Huyu kaka alipatwa na nini kibao kile? Na akasema very sorry " sijawahi mpiga mwanamke"

Aisee sidhani kama kuna mwanaume atakuja nizabaga tena.
 
hebu fafanua zaidi inaonekana kuna mengi hayapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ