Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Wadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
Mbona kama stori haijaisha? Kuna kitu hakipo vizuri moyoni kwamba umejikuta unampenda zaidi au upendo umepungua?Wadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
Kibao tu mkuu unajisifia ebu angalia hapa kwa Avatar yangu alafu njoo niambie unafikiri nilimpiga na nini?Wadau jumatatu nilimtembelea mchumba wangu kwake sasa wakati tunapiga stori xa hapa na pale tukapishana kidogo akanitukana nikampiga kibao kimoja. Kwa kweli alilia sana mpaka akawa anakimbilia mlango atoke nje akimbie akihisi nitamwendelezea kibano. Ilichukua muda sana kumbembeleza.
Lakini nahisi kuna jambo limebadilika moyoni mwangu baada ya kumnasa kibao
Kwa Mara ya kwanza haujasapoti kipigosiku nyingine jibu asante tu halafu toka zako, ukirudi hasira zimeisha
πππππ sio kila kosa linastahili kipigo, mengine unapotezea tuKwa Mara ya kwanza haujasapoti kipigo
Mmmh mbona kama unahubiri usiyoyatendasiku nyingine jibu asante tu halafu toka zako, ukirudi hasira zimeisha
Hahah utapata shida sana kunielewa kama utaamini kila ninalosema humu jf! Kuna ya kweli na mengine ni ya nadharia tu πππMmmh mbona kama unahubiri usiyoyatenda
Hahah utapata shida sana kunielewa kama utaamini kila ninalosema humu jf! Kuna ya kweli na mengine ni ya nadharia tu