Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

Kumpenda mtu asiyekupenda inatesa sana!

leah2

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
584
Reaction score
1,441
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
 
Heri ww Dada yangu Mimi hapa na mwezi apokei cm wala kunijibu text huyuu mwanamke kanifanya niwe chizi kazini.ila nimeapa mwanamke ataisoma namba kwenye maisha yangu. Nimetoka job nimeingia kulala.Eee Mungu anisaidie nivuke hili Salama.
 
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..

Nimekuwa mtu wa kulia tu...

Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.

Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
 
Attachments

  • FB_IMG_1499109668511.jpg
    FB_IMG_1499109668511.jpg
    31.6 KB · Views: 153
Leave him

Love doesn't hurt, hope + expectations do. Hiyo kujipa moyo kuwa sijui atapiga muyaongee etc. Au hoping and expecting kuwa atachange na finally atarudi to his senses na kuanza kukuonyesha upendo uutakao. You are just setting yourself up for a very painful heartbreak huko mbeleni.
 
Yan una vithibitisho vyote kuwa hana mpango na ww lakini...et unasema unampenda...acha kujiendekeza... stay strong & positive... huu ulimwengu wa sasa ..inabidi uwe mtu makini xana...na inapobidi ...ufanye maamuz magumu..kwa kunusuru maisha yako
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu
 
Back
Top Bottom