Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Nimemuambia niletee picha yako leo ya sita sijamuona ,na alisema hajimudu hajiwezi kaniPM .nikamuuliza kwa lipi kubwa ,eti hata hajui imemtokea tu kunipenda ,niletee namba ya simu patupu,picha ,ila avatar yake inavutia sasa cjui ni yeye au ni mbuzhi kwenye gunia ,mnatisha ,hivi yupo bro kabahatika nao ? Au basi wapo wapo tu !😛eep:
 
Reactions: SMU
Teh teh teh! Humu kuna baadhi ya mapunga nao wanatafuta fursa!
 
Afu habarii yakoo kama haieleweki ivii
 
Wewe waulize wenzio kuna wali na ubwabwabwaa humu.
 
Wewe mwenyewe ulimtumia picha yako???
Haya nayo makubwa sasa yeye ndio kadondokea hata sababu hazijui ,iweje mimi nimlushie photo ,yangu picha ni baada ya mazungumzo ,si umeona hata simu yake hakutoa ,inakuwaje hapo !
 
Wengine wanaume humu wanajifanya wadada...shauri zako..
Hao hua situmiagi ,labda ndio maana ameingia kizani ,yaani kama ameishiwa credit pia angenijulisha tu nikamtumia ,tatizo hakuniletea number yake ,tukaweka contact sawasawah !
 
mambo vp bibie karibu maasai hapa kino nna bia zako mbili

Niko byeee...Thank u...bahati nzuri situmii hizo mambo....unaweza kuzinywa kwa niaba yangu...!
 
Yaani nampa siku sita kama hatakuja na jibu sahihi na mimi natafuta mwengine ,kuna mmoja hapa naona kama nampenda sina uhakika ila naona moyo wangu huwa anauchukua vibaya sana tena anakwenda nao mbali !
 
Tena mimba ya miezi 8 na week 3
nimejua tu, yaani ungekuwa karibu ningekuja kutembelea ,ungetamani kipi nikuletee ,wenye mimba huwa mnatamani vibaya sana ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…