MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
- Thread starter
- #41
HahahahaaaaaUko mbali mkuu!
Malalamiko dhidi ya huyo bwana yako siku nyingi! Sasa njia ya kujiridhisha ndiyo hiyo!
HahahahaaaaaUko mbali mkuu!
Malalamiko dhidi ya huyo bwana yako siku nyingi! Sasa njia ya kujiridhisha ndiyo hiyo!
Fanya kazi kijana acha UDAKU.Wakuu habari,
Nimejaribu kujiuliza sababu za mh. Rais JPM kumpelekea Mulongo RAS aliyetoka kwenye jeshi la polisi tena aliyekuwa Ofisa wa ngazi za juu kwenye jeshi hilo, lakini sijapata jibu, kwa hiyo nimeona niwekeke hapa ili tujadili kwa kuwa najua kuwa humu kuna watu wenye akili sana. Asanteni
Mkuu we ni MulongoFanya kazi kijana acha UDAKU.
Hao vijana majukumu wanayaweza?CCM ni ile ile haitabadilika hata Malaika akitua hapo. Magufuli kama Kikwete tu yaani kuna shida ya ajira wasomi wenye madigrii (degree) wanauza Mpesa na vocha za simu. Watu wamefanya Kazi miaka 30+ amefikia muda wa kustaafu (miaka 60) unampa kazi nyingine yenye cheo Katibu wa mkoa (RAS) hi si sawa.
Hapana. Mimi ni mume mwenzio kwa mkeo.Mkuu we ni Mulongo
kwani chagonja ameenda mwanza!!! sio katavi kweli!!!Hiyo combination ya Mulugo na Chagonja sijui itakuwaje. Kama Faisal alimpiga chupa ya maji huyu RC sasa tutegemee RC kutandikwa mikanda na mitama na Chagonja kama ataendeleza tabia zake za dharau.
Kwa hiyo binti yako umeanza naye siku nyingi?Hapana. Mimi ni mume mwenzio kwa mkeo.
Harafu akigombana na huyu tena nini kitafuataKuna possibility the guy akaja kumreplace Mulongo wakati wa changes za wakuu wa Mikoa, I think hiyo ni entry point tu