Hatukufunzwa kuyafurahia matatizo ya wengine bali wanapokuwa kwenye matatizo hatuna budi kuwaombea, vp kama wakijitokeza watu wenye nguvu miongoni mwa hao waliotumbuliwa, wakaiburuza serikali mahakamani kwa kuruhusu kudahili na kuwapa ajira watu wenye vyeti feki na ikatokea wakaushinda mfumo uliotumika! Halikuwa kosa lao bali serikali yenyewe....