Kumpa jina lako mtoto wa kufikia

Kumpa jina lako mtoto wa kufikia

Hivi kiswahili kigumu eeh? Hakuna mwanamke furushi kamwe. Soma tena uelewe, au labda ni vitu vimekuzidi umri hivyo subiri ukikua utaelewa.
Hebu nisaidie, kwani furushi maana yake nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kama umependa za kuambiwa changanya na zako.
Humu ndani panahitaji moyo wa chuma mkuu, maana kilasiku wajumbe wanabadilika....[emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kwa sababu 1 na 2 sioni msingi wake, ukiangalia kwenye mfano wako pale juu..
mama alimpa mtoto surname awali bila kujali mazingira namba 1 au 2 kwa nini ambadilishie baadae?

Surpose kwa sababu yoyote ile na huyu baba wanaachana anaolewa tena na tena, huyo mtoto atapitia surnames ngapi?
Sio wewe peke yako, wanaume wengi hawaoni sababu ya 1 na 2 hazina mashiko, ndio maana kila kukicha wanaume wanakataa mimba na watoto, ila kwa mtu yeyote mwenye kujali ndio sababu kuu zenye mashiko sio kwa mama na pia sana kwa mtoto.

Hilo la kuolewa na kuachika lina mashiko lakini haikutokea kwao.
 
Back
Top Bottom