Kumnyonya mwanamke au mwanaume au kufanya mapenzi mdomoni husababisha kansa ya koo

NWanabodi, habariya majukumu. naomba kuleta kwenu mpango wa matibabu kwa maradhi mbalimbaliwenye gerentii ya kurudishiwa gharama za matibabu (pesa) kwa 100% iwapohautapata matokeo Chanya.

100% MONEY BACK GUARANTEE ON HEALTH CHALLENGES

KISUKARI: Aina ya 1 and 2
UZITO ULIOZIDI/VITAMBI
DOZI: MWENZI MMOJA.
Njia ya 1; EDMARK P4.
1. OMEGA 48.
DOZI. WIKI 3 MPAKA 4 .
1. MFS
Njia ya 2.
4. SPLINA.
DOZI: WIKI 2
1. GINSENG COFFEE
2. SPLINA
* Ginseng coffee itumiwe kuanzia wiki ya pili.
1.SHAKE OFF
MATARAJIO: KIWANGO CHA KAWAIDA CHA SUKARI.
1.GINSENG & RED COFFEE

MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA KWA MLO WA JIONI
PRESHA YA KUPANDA.
MATARAJIO: KUPUNGUA KILO 3 MPAKA 7.
DOZI: MWENZI MMOJA.
*Dozi inaweza kurudiwa zaidi ya mara 1 ili kupata uzito stahili.
1. OMEGA 48 &/MFS

4. SPLINA.
KUKOSA CHOO/MGORO(kutokwa nyama njia ya choo)
1. GINSENG /RED COFFEE
DOZI: WIKI 2 MPAKA 3.
* Kahawa itumike kuanzia siku ya tatu.
1.SHAKE OFF
MATARAJIO: PRESHA YA KAWAIDA
2-3 SPLINA

1.OMEGA 48 (kwa mgoro peke yake)
PRESHA YA KUSHUKA.
MATARAJIO: KUONDOKANA NA CHANGAMOTO ZOTE MBILI.
DOZI: MWENZI MMOJA.

1. MFS &/OMEGA 48
KIHARUSI(kupooza)/MFUMO WA MAWASILIANO.
4. SPLINA.
DOZI: MWEZI MMOJA.
1. RED COFFEE
1. OMEGA 48.
*kahawa itumike kuanzia siku ya tatu
1. MFS
MATARAJIO: PRESHA YA KAWAIDA
4. SPLINA.

1. GINSENG & RED COFFEE
VIDONDA VYA TUMBO/ASIDI TUMBONI
1.SHAKE OFF(kwa wenye uzito uliozidi tu)
DOZI: MWENZI MMOJA
* Coffee & Shake off zitumiwe kuanzia siku ya nne).
1. OMEGA 48
MATARAJIO: MWILI KURUDI KTK HALI YA KAWAIDA.
2 /4. SPLINA.

MATARAJIO: VIDONDA KUPONA/ASID KUISHA KABISA.
SARATANI & UVIMBE(Pia saratani ya utumbo mpana)

DOZI: MWEZI MMOJA.
PUMU/MFUMO WA UPUMUAJI
2. OMEGA 48.
DOZI: WIKI 2 MPAKA MWENZI MMOJA.
1. MFS
1. OMEGA 48
4. SPLINA.
2. TO 4. SPLINA.
1. GINSENG COFFEE
1. SHAKE OFF.
1.SHAKE OFF(kwa saratani ya utumbo kila baada ya siku 1)
MATARAJIO: PUMU KUISHA/KUPUMUA KAWAIDA.
* Coffee & Shake off zitumike kuanzia siku ya nne.

EXPECTED RESULTS: MABADIRIKO MAKUBWA YA KIAFYA.
KUSHUKA KINGA YA MWILI/CD4
*Kwa saratani, hatukuhakikishii kupona. Ila kuzuia saratani kuenea, kupunguza maumivu na athari za madawa na kuongeza muda wa kuishi ikiwemo pia kuboresha afya ya mwili kwa ujumla.
DOZI: MWENZI MMOJA.

1. OMEGA 48.
FIGO/INI
1. MFS
DOZI: MWEZI MMOJA.
4. SPLINA.
1. OMEGA 48.
1. GINSENG & RED COFFEE ( kwaajili ya kuupa mwili nguvu)
1. MFS
* Coffee zitumike kuanzia wiki ya pili.
4. SPLINA.
MATARAJIO: KUIMALIKA KWA KINGA YA MWILI
1. GINSENG COFFEE
CD4 KUONGEZEKA MARADUFU.
1. SHAKE OFF.
NB Dozi hii inaweza kurudiwa mara 2 au 3 ktk mwaka.
MATARAJIO: KUONDOKANA NA CHANGAMOTO ZA INI/FIGO

CHUNUSI & MADOA MEUSI/MZIA
GAUTI/BARIDI YABISI/MAUMIVU YA MIFUPA
DOZI: WIKI 2 MPAKA MWENZI MMOJA
DOZI: MWEZI MMOJA.
1.SHAKE OFF
1.OMEGA 48
2.SPLINA
4.SPLINA
1.COCOLAGEN COFFEE(kwa chunusi & madoa meusi tu)
1.SHAKE OFF
1.OMEGA 48
2. RED BUBBLE TEA
MATARAJIO: KUWA NA NGOZI NADHIFU
MATARAJIO: KUMALIZWA KWA MAUMIVU YA MIFUPA.

NB. Bidhaa zetu zote zinatokana na virutubisho asilia vyachakula, hazina athari kwa mtumiaji & zimethibitishwa na TFDA .

The expected results may come before indicated dosage time. We recommendfinishing of the dose

Dozi zinaweza kurudiwa. USIACHE KUTUMIA DAWA ZA HOSPITALINI. Ila tu utakaposhauriwavinginevyo na daktari.

Tunaaminikuwa madaktari na wataalamu wanatibu. Lakini anayeponya ni MUNGUpekee. Hivyo, utakopopata uponyaji,

kuimalikakwa afya yako au matokeo yeyote ya kukuridhisha, shukrani na utukufu apewe MUNGU MWENYEZI pekee

Kwa taarifazaidi, wasiliana nasi kwa simu namba 0713 366 473 au 0767 277 223.
AFYA NJEMA HUJENGAMUSTAKABALI MZURI WA MAISHA. CHUKUA HATUA.

Oral sex ni hatari hasa kama washirika wanamaambukizi ya magonjwa ya zinaa. Hata hivyo mara nyingi sehemu nyeti hasa za wanawake huwa na bacteria maalumu kwa ajili ya ulinzi, sasa unapohamisha wale bacteria na kuwapeleka mdomoni unakuwa umebadili mfumo wao wa maisha na kuwafanya wawe na 'complex life cycle' na hata kuwa 'control' inakuwa shida. Ndiyo maana inakuwa vigumu sana kuwaua 'once' wanapokuwa mdomoni na ndiyo maana hupelekea mtu kupata kansa ya koo(''throat cancer''). @ MziziMkavu
 
mkuu vipi kuhusu kunyonyana denda kali kabisa lile full kunyonya ulimi nalo linaweza kuleta hili tatizo?
 
mkuu vipi kuhusu kunyonyana denda kali kabisa lile full kunyonya ulimi nalo linaweza kuleta hili tatizo?

Kama unanyonyana denda na mtu ambaye tayari ameshabeba hao jamaa wa hizo sehemu nyeti mdomoni kwake kuna uwezekano wa wewe kuambukizwa pia, moja ya dalili za kushambuliwa na hawa bacteria ni kutoka damu kwenye fizi mdomoni ndani ya muda mfupi.(si kila bleeding mdomoni husababishwa na hawa jamaa). Japo madhara ya cancer yanachukua mda kidogo mpaka kuja kugundua.

ok GUd kwa ufafanuzi mzuri mwana JF
 
Back
Top Bottom