sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,261
- 651
Nilianza mbele kama kawaida,akadai amechoka,nikamgeuza nyuma akaanza kulalamika ,nikataka nimweke staili nyingine,akaanza kulia.Aiseee!kumnyoa mtoto mdogo kazi kweli kweli.
kumnyoa mtu mzima je? anatulia tuliii kila utakavyomuweka.
Wizi mtupu.Nyie ndo waharibifu wa vitoto vyetu
Wizi mtupu.Nyie ndo waharibifu wa vitoto vyetu
ovyooo.....haichekeshi hata!!![huwezi kupendeza kila mtu] kwani lazima ucheke!