wanaume waaminifu ni wachache sana tena sana na kuna dalili kukawa hakuna mwaminifu baada ya muda mfupi, ndio mana wengine hatufikirii hayo bali heshima yake inahitajika sana tena sana...mengineyo Mungu anajua.
Afadhali sasa unaanza kufunguka!
Wanaume wote, akiwemo mumeo si waaminifu. Hiyo itasimama mpaka mwisho wa dahari!!!!!!
Afadhali sasa unaanza kufunguka!
Wanaume wote, akiwemo mumeo si waaminifu. Hiyo itasimama mpaka mwisho wa dahari!!!!!!
Lakini Nyamayao unasahau 'it takes two to tango', ili mwanaume afanikishe kukosa uaminifu lazima apate mwanamke wa kushirikiana naye. Kwa hiyo unamaanisha hakuna binadamu mwaminifu?
tabu yangu me na we tunapendana lakini tukianzaga kubishana bac hakuna maelezo...ngoja nikukubalie tu.
akija kwangu akiniambia hajaona na lipete lake kaliweka mfukoni, nani atalaumiwa hapo?
Kama hii ni kweli, huo uzinzi wanafanya na mambweha au binadamu wenzao wa kike? Uaminifu wa wanawake mbona hauulizwi hapo? Maana nina uhakika wanawake wangekuwa waaminifu basi hata wanaume wasingepata mtu wa ku-cheat naye.
akija kwangu akiniambia hajaona na lipete lake kaliweka mfukoni, nani atalaumiwa hapo?
Aaaa: Mbona simple?
Kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume..... hilo halina ubishi siyo?
Pili kuna baadhi ya wanawake mashujaa ambao wanatoa huduma kwa wanaume zaidi ya watatu kwa wiki....... hilo nadhani pia halina ubishi, sawa?
Ukichanganya moja na mbili utakuta wanaume wote si waaminifu lakini kuna wanawake wachache kama alivyokuwa bikira Maria ni waaminifu mpaka mwisho wa dahari.... Need I say More?
Nawe lipete lako unakuwa umelisweka kunako pochi au? Kumbe sasa?
Hapana mkuu wangu umemaliza kabisa! nimegonga na kabatani ketu:target:.... Need I say More?
huo mfano nimeutoka kwa mdada aliepo cngle.
Hiyo ya idadi ya wanawake kuwa wengi siikubali kwani hata data za census zinaonesha gap kati ya wanawake na wanaume ni kama 1% hivi, yaani ni almost nusu kwa nusu. Na kuhusu wanawake wanaogawa kwa wanaume wengi, ni kuwa hulka ya kutembeza dudu iko jinsia zote, wapo pia wanaume wanaomega wanawake wengi kwa hiyo effect inajimaliza yenyewe. Hivi hata tukiondoa kundi la watembeza dudu (wa kike na kiume), katika hao wanaobaki bado hakuna waaminifu?
conffession hii naogopa hata kuitumia kwa pilato uwiiiiii!!!!!Aaaa: Mbona simple?
Kwanza wanawake ni wengi kuliko wanaume..... hilo halina ubishi siyo?
Pili kuna baadhi ya wanawake mashujaa ambao wanatoa huduma kwa wanaume zaidi ya watatu kwa wiki....... hilo nadhani pia halina ubishi, sawa?
Ukichanganya moja na mbili utakuta wanaume wote si waaminifu lakini kuna wanawake wachache kama alivyokuwa bikira Maria ni waaminifu mpaka mwisho wa dahari.... Need I say More?
Mwaga ugali nami nimwage mboga.Hapana mkuu wangu umemaliza kabisa! nimegonga na kabatani ketu:target:
conffession hii naogopa hata kuitumia kwa pilato uwiiiiii!!!!!
but I have seen the button today and am making a gud use of that!!
Kumbe wadada walioko single wanapatikana kirahisi hivyo, kwa kuficha tu lipete mfukoni? Basi hao ndio wanaotuletea balaa hili. Yaani mtu asipoona pete tu kishakubali kumegwa, hahitaji kujua background zaidi? Basi hao ni hawana tofauti na wale mademu wa viwanja. Tuzumgumzie msichana single asiye na mapepe ya kihivyo, anaweza kukubali kimego easy hivyo? Na huyo akiolewa itakuwaje kama siyo yaleyale ya 'kunguru hafugiki'?

so very wrong my dear!!!
hivi unafikir kuna mtu anataka kutoka na mwanaume bila future expections like buliding a family together? (ni wachache sana) sasa ukitoka na mume inakuwaje.......
sio kweli kuwa wasichana single ni easy go, but ukiwa single si ni kuwa hujapata na una wish pengine na wewe uwe namwenza? unakuja unanidanganya hujaoa n may be am interested in u si ndo naingia mkenge hapo? whose fault.....?