Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,676
- 830,603
Wanajamii, nina mpenz wangu yapata mwaka mmoja sana, nilikuwa na tabia ya kushika na kuangalia cm ya mpenz wangu, ilifika wakati akanikataza nisishike tena cm yake kila mtu abaki na yake, saiv cm yake ameibiwa anaomba nimnunulie cm nyingine, sas mim najiuliza nitamnunuliaje cm wakat yeye hataki mm nishike cm yake? ushaur wenu jamani.
Sio tabia nzuri kushikashika simu ya mapenzi/mchumbaake/mke wako....usiitafute shari acha shari ije yenyewe
Akishakujua una hizo umekwisha....! Mwanamke ni kiumbe mwerevu kuliko nyoka...mpende mheshimu mwamini! Mengine acha yaje kama ajali
Ingia mfukoni kamnunulie cm nzuri itakayoendana naye
Kama ishu ni gharama tuone wadau.....!!!!