Kumlinda pdidy gharama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumlinda pdidy gharama

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 17, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  [h=3]Kumlinda Mr. Happy[/h]

  [​IMG]
  Afya ya mwanaume ni kitu muhimu sana na ni kitu kizuri.
  Je, umewahi kusikia usemi kwamba mwanaume mwenye afya ni yule ambaye anaweza kusimamisha uume wake bila matatizo?
  Hii ina maana kama wewe ni mwanaume, afya ya uume wako ni kitu muhimu sana, wanaume wengi hawana mpango wa kujali afya ya kiungo hiki chenye thamani.
  Ni jambo la kawaida kwa mwanaume kuhakikisha unakuwa na erection kila siku.
  Je, Mr. Happy wako kila asubuhi huamka huku amekupigia salute?
  Kama Mr. Happy anakusalimia kila asubuhi basi afya yake ipo fantastic.
  Je, ni namna gani unaweza kumlinda Mr. Happy kuwa imara na mwenye afya tele kila wakati?
  MOJA: UWE MAKINI NA VYAKULA
  Mlo ambao haufai kwa moyo pia ni hatari kwa Mr happy kupata erections.
  Tafiti nyingi zinaonesha kwamba kula vyakula ambavyo husababisha heart attack pia huweza kuzuia flow ya damu kwa Mr. Happy kule south pole.
  Wanaume wambao wanakula matunda, mboga za majani, nafaka kamili, na mafuta ambayo hayana fatty kama vile olive oil na samaki wanauweza wa kuwa na erections bila matatizo.
  [h=3]MBILI: UZITO WAKO[/h][h=3]Mwanaume ukiwa overweight unajikusanyia matatizo mengi sana ya kiafya. [/h][h=3]Hii ni pamoja na diabetes (hasa type 2) ambayo husababisha kuharibika kwa nerves mwilini na nerves zikiharibika huko kwa Mr. Happy basi inakuwa ngumu sana kuwa na erections.[/h][h=3]Ndiyo maana wagonjwa wa kisukari hujikuta wanakwepa kwepa chumbani mama akishamvalia kipande cha kagha kwani Mr. Happy huanza kufanya yale ambayo hajatumwa (anagoma)[/h][h=3][/h][h=3]TATU: SHINIKIZO LA DAMU[/h][h=3]Kuwa na kiwango cha juu cha cholesterol na shinikizo la damu huweza kuharibu mishipa ya damu na hii ni pamoja na huko chini kwa Mr. Happy na hii hupelekea kukosa erections.[/h][h=3][/h][h=3]NNE: KILEVI[/h][h=3]Walevi wa pombe wengi huishia kuharibu maini, nerves na hali zingine ambazo hupelekea kukosa erections.[/h][h=3]Chapombe wengi hujikuta wanashindwa kuwa na erections ili kuwaridhisha wake zao.[/h][h=3]Hivyo kama ni mlevi acha pombe[/h]
  TANO: MAZOEZI
  Kuna ushahidi ulio wazi kwamba wanaume wengi ambao maisha yao ni sedentary (kulaza damu, kukaa tu kizembezembe) hushindwa kuwa na erections.
  Mazoezi ya kukimbia, kuogelea husaidia kuimarisha erections.
  Pia kuendesha baiskeli kwa muda mrefu huweza kusababisha kukosa erections, ingawa kuendesha baiskeli kwa safari fupifupi haina shida, pia ni muhimu kuvaa pants nzuri na pia kusimama kwenye baiskeli mara kwa mara, pia uwe makini na aina ya seat ya mkweche wako kwani kuna seat husababisha genital numbness.
  SITA: TESTOSTERONE
  Hata mwanaume mwenye afya njema, anapofika umri wa miaka 50 kiwango cha homoni ya testosterone huanza kupungua na dalili mojawapo ni kukosa hamu ya sex, kuwa na mood tofauti tofauti, kukosa stamina, au kushindwa kutoa maamuzi haraka, ukiona hivi wasiliana na daktari wako aangalie ni vipi anaweza kukusaidia.
  SABA: OGOPA STEROIDS
  Haya madawa hutumiwa na wanamichezo ili kuongeza nguvu au kwa mabaunsa (body builders).
  Tatizo la haya madawa huweza kuzikamata na kuzibana balls kiasi cha kushindwa kutengeneza testosterones.
  NANE: ACHANA NA SIGARA
  Kuvuta sigara huweza kuharibu mishipa ya damu na huzuia damu kumfikia Mr. Happy pia nicotine ndani ya sigara huweza kufanya mishipa ya damu kusinyaa na huzuia damu kwenda bondeni na matokeo hakuna erections.
  TISA: CHUNGA SANA NAMNA MR. HAPPY ANAVYOJIDAI
  Baadhi ya matatizo ya kukosa erection hutokana na injuries za Mr. Happy wakati wa sex.
  Kuzuia Mr. Happy asiiname kwa maumivu ni muhimu kuhakikisha kwamba kabla ya kuingia kwenye uke, uke unakuwa wet na lubricated kiasi cha kutosha.
  Na kama mwanamke anajizungusha kiasi cha kumpindisha Mr. Happy hadi unajisikia maumivu ni vizuri kujipa stop palepale au kutafuta style nyingine ambayo Mr happy atajisikia comfortable.
  Kama mwanamke yupo on top na wakati anajipendelea na downward and upward movement na Mr. Happy halengi uke na kuingia sawasawa, maana yake Mr. Happy anaweza kuwa crushed na hakuna uume duniani unaweza kuhimili hicho kitendo.
  KUMI: ZUIA MSONGO WA MAWAZO
  Ukiwa na msongo wa mawazo (stress) maana yake kiwango cha adrenaline mwilini kinakuwa tofauti na matokeo yake mishipa ya damu husinyaa na damu haitaweza kwenda kwa Mr. Happy na kama kawaida Mr. Happy akikosa flow ya damu basi hawezi kuwa na erections.
  Kuwa bora emotionally ni kuipa sex boost
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  [h=3]Ili Afurahie[/h]

  [​IMG]
  MWANAMKE:
  Ili mwanamke afurahi tendo la ndoa:
  Ni muhimu ajisikia anapendwa na mume wake, ajione yeye ni kitu cha thamani na kusifiwa na mume wake.
  Ni pale anapojiona anasikilizwa na kuwa respected.
  Pale kukiwa na mazingira ambayo ni romantic (ndiyo maana sex on spot au bila kuandaana na kupeana muda wa kuwa connected kimapenzi huwezekana kwenye movies na si kwenye real life) mke anahitaji kusaidiwa kazi ndogondogo kama kupika, kuosha dishes, kusafisha nyumba, watoto nk ndipo awe tayari kwa kumfanya Mr. Happy aendeleze smile lake. Mke hupenda na hujiamini pale anapojiona ni msafi (clean) hasa kabla ya kuguswa sehemu yoyote katika mwili wake, kwake hygiene ni jambo la msingi sana ingawa wanaume wengi hujisahau as if hadi wafanyiwe sniff test.
  Mwanamke ili afurahie tendo la ndoa anahitaji privacy.
  Anahitaji kuhakikishiwa kwamba mlango umefungwa (locked) pia hakuna mtu anawasikiliza au kusikia heka heka za mahaba (ndiyo maana si rahisi sana mwanamke kukubali tendo la ndoa akiwa nyumbani kwa wakwe.
  Mwanamke anahitaji kujiona mume anamuelewa na zaidi anapata kisses, hugs, touch, na cuddling mara kwa mara.
  MWANAUME:
  Mwanaume ili afurahi tendo la ndoa;
  Ni pale anapojisikia kwamba mke wake anamuhitaji (needed), hiyo ni siri kubwa ambayo mwanaume hujiona anasisimka kimapenzi.
  Pia mwanaume ili afurahie sex anahitaji sehemu au mahali ambapo anaweza kuhudumiwa na kwa mwanaume sehemu yoyote, eneo lolote hata tatizo kwake sex inawezekana.
  Hii ina maana kama kuna mahali binadamu anaweza kwenda au kufika basi mwanaume kwake sex itawezekana.
   
Loading...