Unakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
MKUU MI MWENYEWE NIMESHANGAAUnakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
Umejuaje kama utadai hapo baadaye?Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
Dhamana iwe nyumba hiyo ukaayo!Si unajua tena mambo ya pesa mzee lolote inaweza tokea.anataka kufanya biashara ya sukari kuweka stock na kuzungusha.mfano biashara imeenda kombo inakuwaje hapo?
hakika kuna hitilafu huko anga za juu !! tumwombee tu hakuna namna !!Unakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
Ndio maana JF ya zama hizi imejaa stori za kutunga zisizo na uhalisia na uongo mwingi mwingi
Yani ni kakijiwe flani ka kupigia porojo na kusogeza siku