Bossmkubwasana
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 138
- 47
Ukitaka kua na uhakika kamili labda umpeleke maabara umpige x-ray, utra sound pamoja na city scan kuhakikisha kama huo upendo kweli upo moyoni mwake.Mapenz ya sikuhiz ni kama kamali
Kabisaaaa hajui huyuUkitaka kua na uhakika kamili labda umpeleke maabara umpige x-ray, utra sound pamoja na city scan kuhakikisha kama huo upendo kweli upo moyoni mwake.
Ukitaka kujua kama mkeo au mpenzi wako .kama anamapenzi ya dhat #1. Ukiendanae baa hawezi ket katka kiti bila kukusogezea kiti ww #2. Mkiingia hoteli hawezi kula bira kukurisha japo kijiko kimoja tu. #3. Hawezi mariza sku hata moja bila kukutamkia neno nakupenda. #4. Hawezi pata fulaha ukiwa umesafri __ huyo ndo mwenye mapenzi ya dhati...............
NI KWELIMapenz ya sikuhiz ni kama kamali
HAKUNA NOMA MKUUKwani shida iko wapi mkuu?
Bora umesema wewe..mimi hoiHivi kiswahili darasa la tatu waalimu wake ni vodafaster? Yaani inakera kwamba mtu hajui kuandika kwa ufasaha kama hakusoma hata la kwanza. Hata kama umeathirika na lahaja ya kwenu lakini hata wapi utumie 'r' wapi 'l'HUJUI ?? inahuzunisha sana!
Chukua likizo ndefu ya dharura, halafu mwambie mkeo umefukuzwa kazi na huku huna hata hela kabisa . kisha muda wote shinda nyumbani uwe unamuwekea sheria kibao za wivu, huku ukiwa mkali. Mshindishe njaa mfululizo na ukiondoka kwenda kitaa unarudi na dagaa tena apike chukuchuku. Akiwa mpole hadi likizo iishe bila hata kukuongelea vibaya, ila anakubembeleza basi angalau huyo ana mapenzi yenye msimamo..
Tena chenye baraka...[emoji851][emoji851]Hiki kipimo kizuri sana
Wanawake wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia mwanaume wakati wa matatizoChukua likizo ndefu ya dharura, halafu mwambie mkeo umefukuzwa kazi na huku huna hata hela kabisa . kisha muda wote shinda nyumbani uwe unamuwekea sheria kibao za wivu, huku ukiwa mkali. Mshindishe njaa mfululizo na ukiondoka kwenda kitaa unarudi na dagaa tena apike chukuchuku. Akiwa mpole hadi likizo iishe bila hata kukuongelea vibaya, ila anakubembeleza basi angalau huyo ana mapenzi yenye msimamo..
Sana mkuuWanawake wachache sana wenye uwezo wa kuvumilia mwanaume wakati wa matatizo