Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

Joined
Jan 1, 2016
Posts
16
Reaction score
2
Ndugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki
 
Kwa macho huwezi kujua pengine akubali kwenda naye kufanya vipimo hospitalini.
 
Nifahamu tu ili nisije ingizwa mjini baadae maana utoaji mimba umeongezeka
 
Ndugu wanajamiiForums,

Naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Nikijua napata pa kuanzia tatizo la uzazi likitokea
 
Muulize Gwajima, atakufunulia kwa maombi maana yeye ni mtaalam wa wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…